Kuelewa picha ya Nyerere, Kawawa, Kambona 1960s

paulbjerk

Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Wana-JF, Naomba msaada kutambulisha ni tokeo gani katika picha hii. Naikadhiria kuwa 1964 lakini inaweza kuwa kabla au baada ya hapo. Nawatambua Oscar Kambona, Rashid Kawawa, na Mwalimu Nyerere, lakini siwafahamu wengine, wala kujua askari mzungu ni nani. Asanteni kwa msaada wowote. Paulo
 

Sijui, inaoekana picha haionekani. Nitajaribu attachment tena.
 

Attachments

  • 1397748777947.jpg
    81 KB · Views: 405
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…