Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Nipo na kitabu hapa chenye kurasa 15,000 kwa siku nasoma ukurasa mmoja tu;natumaini baada ya miaka 40 nitakuwa nimekimalizaKasome maana ya ndoa usije lia
ha ha ha fafanua mkuuMimi nimeingia huko ili nikopesheke
ha ha ha haUkiingia unafata cheo kile mke 'mme au we unaonaje
Ukienda kukopa wakijua umeoa au umeolewa wanakua na confidence zaidi!ha ha ha fafanua mkuu
Itategemea na checklist yao; kuonyesha huyu muhusika amepevuka/anajielewa/ana makazi ya kudumu/mstaarabu n.k wapo wanaoamini mtu aliyeoa/kuolewa ni mstaarabu ukiringanisha na makanjanja......Ukienda kukopa wakijua umeoa au umeolewa wanakua na confidence zaidi!
Hasa kama collateral ni shamba au nyumba, lazima wajueItategemea na checklist yao; kuonyesha huyu muhusika amepevuka/anajielewa/ana makazi ya kudumu/mstaarabu n.k wapo wanaoamini mtu aliyeoa/kuolewa ni mstaarabu ukiringanisha na makanjanja......