Kuendelea kuikumbatia Dollar, Uchumi wetu tunauzamisha Nungwi

Kuendelea kuikumbatia Dollar, Uchumi wetu tunauzamisha Nungwi

baitu

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
24
Reaction score
8
Wanajamii kuna haja ya kupambana kujinanusua kwenye kansa ya matumizi ya hii pesa ya kigeni,maana tuajikuta tunaamuliwa kila kitu ambacho ni chetu maamuz yanatoka kwao,naomba kuwasilisha... Neno langu siyo sheria.
 
pesa iliyopanda sio dolla pekee, hata paund, kenya shillings.

kwa hiyo tatizo sio dolla tatizo ni sisi tunaagiza zaidi ya tunachouza nje na kuwa na sera mbovu na viongozi matapeli.wewe unaiyona dolla kwa vile ndio inayotumika kwenye matumizi ya kimataifa,na imeaminiwa kutokana na kusimamiwa na kusimamiwa na magwiji wa uchumi duniani ndio maana haizingui ovyo

kinachofanywa ni kuwafilisi wafanyabiashara wa kati na wa chini ili wapate hele za uchaguzi na kufaidisha wafanyabiashara wakubwa
 
Kama tuna import mpaka wanaume toka Kenya hela yetu itapandaje samani?
 
This country is very funny, foreign banks ati wao ndio wanapanga interest rates, exchange rates etc. Hivi hawaoni wenzao USA na UK kila uchwao wanawapiga faini kishenzi kutokana na kuwadhulumu walipa kodi? Chijui tusubiri mtume nuhu aje atuokoe maana haya mataahira yameuza mpaka wake zao.
 
Back
Top Bottom