pesa iliyopanda sio dolla pekee, hata paund, kenya shillings.
kwa hiyo tatizo sio dolla tatizo ni sisi tunaagiza zaidi ya tunachouza nje na kuwa na sera mbovu na viongozi matapeli.wewe unaiyona dolla kwa vile ndio inayotumika kwenye matumizi ya kimataifa,na imeaminiwa kutokana na kusimamiwa na kusimamiwa na magwiji wa uchumi duniani ndio maana haizingui ovyo
kinachofanywa ni kuwafilisi wafanyabiashara wa kati na wa chini ili wapate hele za uchaguzi na kufaidisha wafanyabiashara wakubwa