Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Msigwa alikuwa ni mwanachama kindakindaki wa chama cha Chadema hili wote tunalitambua, amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema kwa muda wa miaka 10, Msigwa hakuna asilolifahamu kuhusu Chadema, kama ni Siri za Chadema Msigwa anafahamu Siri nyingi tu kuhusu Chadema.
Kosa kubwa analolifanya msigwa kwa sasa ni kuwachongea Na kuwachomea baadhi ya wanachadema wanaoonekana kuwa ni mwiba kwenye serikali ya CCM.
Tutegemee matukio ya utekaji Na mauwaji kuongezeka zaidi hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, Msigwa hafai tena kuitwa "mchungaji" vinginevyo labda kama ni mchungaji wa familia yake.
Kwa sasa ameamua kuwa mshenzi na yupo tayari kufanya lolote ili tu awafurahishe waliomnunua kwa vipande vya sarafu.