Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Nilishawahipeleka gari inawaka taa ya ABS, fundi akakimbilia kutoa fuse ya ABS. Bahati nzuri nilimuona nikamuambia irudishie tu hiyo fuse, maana shida haipi hapoElimu, elimu elimu.
Kule mafundi ni watu wenye hobbie na ufundi. Wamejielimisha wanazijua gari na wanatengeneza kitaalamu na kikanuni.
Kwetu eti VETA waende walioshindwa kufaulu vizuri. Seriously. Tena bora waende VETA wakapate na nadharia nyuma ya ufundi. Kuna hawa wanaoenda kwa ujuzi wa vitendo tu hao ndio hatari kabisa.
Siku fundi ananishauri, kuwa tafuta kiwaya pachika hivi itawaka. Nilikuwa nimeenda kununua fyuzi kama anazo.
Alipoona nnasita akasema kwa msisitizo kabisa[emoji15] yaani unaona hapa ni kwamba kameungua tu kamekatika ukiweka waya 'wowote' inawaka. Ni kweli itawaka lakini kwa kanuni zipi?
Tusiwaseme mafundi tu, kila dereva anapaswa naye kuijua gari yake. Uzembe katika elimu binafsi ya gari hiyo ni juu ya mmiliki pia. Ukiishi kimazoea utapata matokeo ya kimazoea tu.
Binafsi nikisikia concept ya hybrid car n aitamani sana. Maana tupo kwenye era ya kutumia umeme kidogo na mafuta kidogo. Nadhani ukiwa na elimu na akili timamu hakuna gari ya kuiogopa.
UmezungukaElimu, elimu elimu.
Kule mafundi ni watu wenye hobbie na ufundi. Wamejielimisha wanazijua gari na wanatengeneza kitaalamu na kikanuni.
Kwetu eti VETA waende walioshindwa kufaulu vizuri. Seriously. Tena bora waende VETA wakapate na nadharia nyuma ya ufundi. Kuna hawa wanaoenda kwa ujuzi wa vitendo tu hao ndio hatari kabisa.
Siku fundi ananishauri, kuwa tafuta kiwaya pachika hivi itawaka. Nilikuwa nimeenda kununua fyuzi kama anazo.
Alipoona nnasita akasema kwa msisitizo kabisaš³ yaani unaona hapa ni kwamba kameungua tu kamekatika ukiweka waya 'wowote' inawaka. Ni kweli itawaka lakini kwa kanuni zipi?
Tusiwaseme mafundi tu, kila dereva anapaswa naye kuijua gari yake. Uzembe katika elimu binafsi ya gari hiyo ni juu ya mmiliki pia. Ukiishi kimazoea utapata matokeo ya kimazoea tu.
Binafsi nikisikia concept ya hybrid car n aitamani sana. Maana tupo kwenye era ya kutumia umeme kidogo na mafuta kidogo. Nadhani ukiwa na elimu na akili timamu hakuna gari ya kuiogopa.
Safi, muhimu kuzijua hata basic technical physics tu imekuokoa.Nilishawahipeleka gari inawaka taa ya ABS, fundi akakimbilia kutoa fuse ya ABS. Bahati nzuri nilimuona nikamuambia irudishie tu hiyo fuse, maana shida haipi hapo