jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Huwezi ukaudanganya umma siku zote.
Kwa vyovyote vile ilijulikana kuwa Kutakuwa na Uchaguzi wa SM mwaka huu na mwezi huu. Lakini inashangaza kuona CDM wapo kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani wa kutafuta viongozi wao.
Kamwe wasitudanganye kwamba wanaweza kuingia kwenye uchaguzi wa SM huku wakiwa wanalumbana na kupigania uongozi ndani ya chama chao.