Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 24
- 55
Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa Kutembelea Kampuni Ya Utengenezaji - Majiko, Ya, "Envotec", Inayotengeneza Majiko Kwa Kuzingatia Usalama wa Mpishi na Mazingira, Ambao Wamefanikiwa Kufikia Lengo La Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia.
Lakini Pia, Nimefanikia Kuona Umuhimu wa Kuchagua Majiko Hayo, Ikiwa Ni Pamoja Na;
- Ufanisi Mzuri wa Kiutendaji Kazi, Unaojumuisha Uchomaji Mzuri wa Nishati, Inayosaidia Kulinda Mazingira Pamoja na Afya Ya Mpishi
- Uhimili wa Kukaa Na Joto; Ambapo Kwenye Majiko Ya Envotec, Joto Halipotei Kwenye Mazingira, Hivyo Kupelekea Matumizi Madogo Ya Nishati.
- Na Mwisho Kabisa, Majiko Yake Yana Sifa za Uimara, Ambapo Hudumu Kwa Muda Mrefu Kwenye Matumizi.
KAZI IENDELEE 🇹🇿