Kuenzi jitihada za kudai katiba mpya za kamanda Mbowe, makongamno yendelee nchi nzima

Kwani Kamanda linalofuata litakuwa wapi?
 
nenda wewe na familia yako, tuache sisi tukatafute mkate wa watoto.
nani anataka matatizo usawa huu.
Lema mwenyewe yupo Canada anakula kuku na familia yake, mbona haji huku kudai katiba kama ana uchungu kweli zaidi ya kutu chochea tu.
za kwambiwa changanya na za kwako.
 
Mwenye nini?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni walewale, hivyo sitakushangaa. Mundo bambikizi, kundi nufaika na mfumo uliopo, lazima kulinda maslahi, mkono usonge kinywani.
 
Wewe ni walewale, hivyo sitakushangaa. Mundo bambikizi, kundi nufaika na mfumo uliopo, lazima kulinda maslahi, mkono usonge kinywani.
Kamanda Halima Mdee, Matiku, Bulaya ulawasikia wanadai kitu kama hicho? wanajitambua, hao ndio wapambanaji wa ukweli
 
Mambo ya kudai haki tuachie sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…