Pre GE2025 Kuepuka Media House kufungiwa, Lissu asihojiwe live, mrekodini kwanza mhariri kisha mrushe hewani. Lissu ni risk factor kwa media

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Kuepuka Media House kufungiwa, Lissu asihojiwe live, mrekodini kwanza mhariri kisha mrushe hewani. Lissu ni risk factor kwa media

Ana tabia ya kuongea vitu vya kutuhumu na character assassination vizito bila ushahidi hakikika kwa media

Mkirekodi kwanza na kupelekea wahariri media zitakuwa safe otherwise nyingi zitafungwa kwa ukiukaji maadili ya uandishi wa habari

Recording kwanza mhariri kisha mrushe hewani hata uwe mkutano wa hadhara akimaliza mhariri halafu baada hata ya saa moja rusheni hewani

Media ziwe makini naye zaweza fungiwa vikirusha live hotuba zake au mahojiano Mdomo wake risk sana kwa media na hajali kabisa

Aweza sababisha media house kibao kufungiwa na TCRA

Wahariri vizuri mjipange mkiandaa interview na Lissu

Pia soma > Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
 
hata akirekodiwa bado haisaidii masharika ya kimataifa ya habari ndo yanaweza fanya nae kitu ila humu ndani kwetu hamna alie salama.....shida ya lissu inabakia kua moja tu ni mkweli mnoo
 
Machawa wanawaza uchawa tu.
Lisu ni mkweli na hapendi ulaghai wa kiccm
 
Yaani hii nchi imekuwa ya kizwazwa kweli, kila mtu anatakiwa aimbe mapambio ya Mama mmama mama mamaa mqmanaa mmamaq mamaaa
 
Nani atapenda kusikiliza habari iliyohaririwa wakati ilikuwa laivu. Kama mna hofu ya kufungiwa bora msimhoji kabisa ijulikane mnaogopa kufungiwa. Hao watakaosikia wametuhumiwa bila ushahidi ni jukumu lao kukanusha kama si kweli, shida iko wapi mpaka media zianze kufanya kazi zao kwa woga? Wananchi wanataka kujua na kusikia habari zilizonyooka kutoka moja kwa moja kwa mhojiwa
 
Club House utaifungaje wakati sisi tuna VPN labda wafunge milango ya vyumba vyao.
 
Kuepuka Media House kufungiwa, Lissu asihojiwe live, mrekodini kwanza mhariri kisha mrushe hewani. Lissu ni risk factor kwa media

Ana tabia ya kuongea vitu vya kutuhumu na character assassination vizito bila ushahidi hakikika kwa media

Mkirekodi kwanza na kupelekea wahariri media zitakuwa safe otherwise nyingi zitafungwa kwa ukiukaji maadili ya uandishi wa habari

Recording kwanza mhariri kisha mrushe hewani hata uwe mkutano wa hadhara akimaliza mhariri halafu baada hata ya saa moja rusheni hewani

Media ziwe makini naye zaweza fungiwa vikirusha live hotuba zake au mahojiano Mdomo wake risk sana kwa media na hajali kabisa

Aweza sababisha media house kibao kufungiwa na TCRA

Wahariri vizuri mjipange mkiandaa interview na Lissu

Pia soma > Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
Ushauri mzuri ita wataupuuzia yawakute.
 
Back
Top Bottom