The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika licha ya kukatwa.
Ninashauri:
TRA awe final katika mchakato wa ku process salary slips both in public and private sector, kila taasisi ndani ya siku 15 baada ya payroll iwe imekamilisha kazi yake, itengeneze mfumo wa pamoja kuhakikisha mshahara umelipwa kwa wakati, michango iende na kukatwa kwa wakati tuseme, NSSSF or PSSSF paid, inakuwa transfered to another institution[emoji3591]WCF[emoji3591]NHIF[emoji3591][emoji3591]HESLB[emoji3591]TRA (PAYE&SDL)[emoji3591]receipt (salary slip) kwa mfanyakazi kwenye email yake na muajiri...inachosha mfanyakazi kumaliza mkataba wake hamna stahiki zake kwenye mifuko husika