Kuepusha mengi bora man utd itolewe mapema uefa champions ligi.......kwani

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
Kwa wale mashabiki wenzangu wa man utd ,mwaka huu tuhesabu maumivu tu,kwani kwa mpira niliouona jana! na huu ushindi wa kibao kimoja kimoja basi!

Kwani timu wazee wamekuwa wengi ukianzia rio fedinand,carrik, flecher,mwaka huu hata UEFA robo fainali hatufiki,ni bora tutolewe mapema tubaki kwenye ligi,carling cup na FA,kwani huko tunakokwenda tutakutana na timu kama MADRID, au BARCA tupate kipigo cha mbwa mwizi tena,bora tukubali mapema,JAMANI RED DEVIAL INAANGAMIA!
 
Jana mlichapwa ngapi? Niliona kile kimoja mliporudisha nikaamua nilale zangu
 
Bora umeuona ukweli na umekubali kwa roho safi. Usijali mnaweza kujirekebisha January. Si unaona Wenger anapeta now? 28-58 Over
 
:eyebrows::eyebrows::A S 465:
OTIS
 
kweli mkiendelea mtachonga sana mtuachie league yetu
 
komaa mkuu utashinda tu ila kwa nyie wajanja mmeliona hilo bora mmewahi kuligundua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…