Kufa ganzi

Kufa ganzi

aisherjs

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
28
Reaction score
7
Habari, mimi ni mwanamke na mama wa mtoto mmoja, tatizo langu ni kwamba miezi miwili nyuma nilijifungua kwa operation, sasa ule mkono ambao ulitumika kutundikiwa drip na kupitishia dawa umekua km unakufa ganzi na muda mwingine unakua hauna nguvu hata kunyanyua kopo la choon inakua tabu je hii inasababishwa na nini? Haiwezi ikaniletea madhara makubwa hapo baadae na nini kifanyike?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu, ungerudi hospitali ulikofanyiwa operation umwambie daktari hayo yanayokusibu na yeye atakuwa na jibu nzuri zaidi kuliko sisi.
 
Nimekupata fadhil

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom