Kufa kimuziki kwa Baraka Da Prince wapi alikosea?

Me naona dgo asingetoka pale royal nsyepa angekuwa mbali maana Ile wakt yupo pale track zake zili hit sana ila alipotoka tuu mambo yakambadilikia
 
Huyu dogo ametengeneza anguko lake mwenyewe!

Ana poor PR. Anatukana hovyo kwenye mitandao ya kijamii nk. Jinsi anavyojibu interview inashangaza sana. The guy is too arrogant! Kuna siku aliwahi kuongea live Clouds kuwa Wimbo wa msanii mwenzie Ben Pol ni Mbaya sana. That was unnecessary! Hana management huyu dogo?

Ametofautiana na akina Kiba, well that is part of life. Angalia alivyo behave baada ya mtafaruko huo! Full vijembe kwa kiba. Unapambana na msanii mwenye fan base kubwa namna hiyo? Na yote hayo anayafanya ili aweze kupata huruma ya team Mondi kumbe anajiharibia big time!

Bado anayo nafasi ya kujirekebisha. Ni msanii mzuri anyway!
 
Safi sana mkuu. Yani umemchambua Baraka Da prince kiundani kabisa utadhani wewe ndie uliechangia kum let down kumbe wewe ni mwimba Taarabu.
 
NADHANI MTOA POST HAJAISKIA NYIMBO MPYA YA BARAKA INAITWA SOMETIMES.....afu nahisi mtoa post atakuwa upande wa MSINISEME KAMA NAPENDA KULA.
Unamaanisha hii kwaya aliyoitoa siku si nyingi
 
Na bado dogo anazidi kuwachukiza watu, Bob Manecky tena amemtimbua
 
Kaka anajisikia yule na analugha chafu mitandaoni mwambie akue ajitambue aache ulimbukeni kujiona staa
 
Na bado dogo anazidi kuwachukiza watu, Bob Manecky tena amemtimbua
Wametifuana na manecky?
Dah ndiye aliyemetengenezea hits kadhaa baada ya kuondoka tetemesha ambapo kidbway, nasdar na lollipop wakaacha fanya naye kazi
 
Wametifuana na manecky?
Dah ndiye aliyemetengenezea hits kadhaa baada ya kuondoka tetemesha ambapo kidbway, nasdar na lollipop wakaacha fanya naye kazi
Nao tetemesha walizinguana. Huyu dogo ni Much Know sana. Anyway hatuwezi sema sana, coz hatuji nyuma ya pazia.
 
Nao tetemesha walizinguana. Huyu dogo ni Much Know sana. Anyway hatuwezi sema sana, coz hatuji nyuma ya pazia.
Si ajabu wakati kidbway anamtoa dogo alikuwa mnyenyekevu maana alivyoondoka tetemesha na akadiss sana label ya tetemesha watu walimmaind sana kid kuwa anamnyonya
 
Si ajabu wakati kidbway anamtoa dogo alikuwa mnyenyekevu maana alivyoondoka tetemesha na akadiss sana label ya tetemesha watu walimmaind sana kid kuwa anamnyonya
yetu macho
 
NADHANI MTOA POST HAJAISKIA NYIMBO MPYA YA BARAKA INAITWA SOMETIMES.....afu nahisi mtoa post atakuwa upande wa MSINISEME KAMA NAPENDA KULA.
Kampeni hizi hazifiki mbali
 
aise umenikumbusha bele9 jamaa sijui aliwakosea nini wabongo daa ukimya wa sasa unatosha

Barack yule jamaa anajisikia yaani anaona anaweza kuweka ligi na mtu yeyote hachagui maneno ya kutamka kwenye interview zake
Very right..
Kijana hajui aongee nini kwa nani..pia nidhamu ni ndogo..sina uhakika na maisha mbele ya media aliyokua anaishi..ila simply hatma yake anayo yeye.
 
Very right..
Kijana hajui aongee nini kwa nani..pia nidhamu ni ndogo..sina uhakika na maisha mbele ya media aliyokua anaishi..ila simply hatma yake anayo yeye.
ni kweli kabisa yule jamaa nahisi ana hurka ya hasira za karibu angepata menegiment nzuri ya kumuongoza ingesaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…