Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nazungumzia hiyo vita na si hayo mabiashara yenu.
Russia akijaribu kudonoa anakwenda kupotea kwenye hii show, naona Biden anaongea muda huu na kumpa moyo Pres, Volodymyr ambapo kwa upande mwingine amesema wanaenda kushinda hii vita pasipo msaada [emoji1]!.
Kuna mchezo unafanyika hapa kama wa mwalimu na mwanafunzi mtoro.
Urusi analia kurudisha makoloni ili ule ukibwa (Super power as USSR) urudi kitu ambacho US hawezi kukubali.
Mimi nmekuelewa chief, hapa kuna uwezekano hili sakata lipo ktk msingi mzito wa watu kuchapa pesa.unafahamu hata mafuta yako ya gari au pesa zako zinakwendaje kweli !.
au unaelewa uchumi unaendeshwaje !
Walikuwa na lugha d same like yours.unafahamu hata mafuta yako ya gari au pesa zako zinakwendaje kweli !.
au unaelewa uchumi unaendeshwaje !
Hebu fafanua kidogo hapa mkuu.Walikuwa na lugha d same like yours.