Kufa kufaana kwenye hili ndani ya Cryptocurrency, Forex na masoko ya hisa

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Ni wachache wanaweza kuelewa kuhusu kupanda na kushuka kwa kwenye mifumo hii niliyo taja kwenye kichwa cha habari.

Kuna hatari ya watu kushuka kiuchumi na wengine kupanda haraka.

Kazi kwenu wachambuzi



 
Me nazungumzia hiyo vita na si hayo mabiashara yenu.

Russia akijaribu kudonoa anakwenda kupotea kwenye hii show, naona Biden anaongea muda huu na kumpa moyo Pres, Volodymyr ambapo kwa upande mwingine amesema wanaenda kushinda hii vita pasipo msaada 😄!.

Kuna mchezo unafanyika hapa kama wa mwalimu na mwanafunzi mtoro.

Urusi analia kurudisha makoloni ili ule ukibwa (Super power as USSR) urudi kitu ambacho US hawezi kukubali.
 

unafahamu hata mafuta yako ya gari au pesa zako zinakwendaje kweli !.
au unaelewa uchumi unaendeshwaje !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…