Kufa kufaana!

Nilimuona mmoja kwenye ajali ya Lori Jana wazo, the way alivyokuwa akielezea lile tukio, akili ikanifanya nifikirie hiki ulichokiandika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vijana mitaani wako bize kutafuta matukio wajifanye Superman
 
Tujiandae kumuokoa jamaa yetu.
Tumechelewa mkuu, wewe si unaona pichani maji yashammeza kabaki kiuno tu kama cha dondora 🀣🀣🀣

Na hapo ndo mwanzo wa safari, ngoja tuone huko mbele itakuaje.
 
Nilimuona mmoja kwenye ajali ya Lori Jana wazo, the way alivyokuwa akielezea lile tukio, akili ikanifanya nifikirie hiki ulichokiandika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Subiri TU Kuna mtu atanasa na kuonja maumivu na ndio itakuwa funzo la masteringi Hawa.
 
I have such a busy schedule. I barely have time for myself.
How are you doing, Mla Bata?
I can feel that πŸ™‚

I'm doing great, God is still on the throne ✊🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…