rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Baada ya Simba kuongoza katika kundi lililokuwa na timu za Al ahyl na As Vita ambayo ilikuwa na wachezaji hodari kwa kumfunga nje ndani na kisha kutolewa kwa tofauti ya goli moja na Kaizer Chief, aliyekuwa kocha wake alishauri Simba ifanye usajili wa wachezaji vijana ili watengeneze. Timu ya kuchukua ubingwa wa Afrika baada ya miaka 4.
Baada ya hapo Simba ilisajili wachezaji Kama Inonga. Kanoute, Peter Banda, Duncan Nyoni na Sackho.
Kanoute na Inonga wamekuwa wachezaji wa mwisho kuondoka baada ya Sackho kuuza na Peter Banda na Duncan Nyoni kuachwa.
Msimu uliopita Simba ilikuwa na wachezaji wengi wenye umri mkubwa ambao wengi wameachwa.
Kwa usajili waliofanya Sasa hivi Kama watawavumilia na kuwapa muda Hawa wachezaji ni wazi baada ya miaka 4 au 3 Simba itakuwa haishikiki sio Tanzania tu Bali Afrika.
Ili wachezaji Hawa wadumu Simba inahitaji kuwa na mkurugenzi wa ufundi ambaye atasimamia hii project badala ya kuwaachia makocha ambao wengi hawadumu.