kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ulevi wa viongozi wa michezo wa Zanzibar wa kudai kujiondoa kwenye Ligi kuu ya Muungano kumechangia sana vilabu vya Zanzibar kudorora. Ile dhambi ya kuwakimbia wenzao wa Tanzania bara wakibaki wameduwaa kwa kuachwa na Wazanzibar imezifanya club za tanzania bara kuimarika zaidi. Wanzazibar wakafikiri kuwa club zao zitaimarika kumbe walikuwa wakijidanganya wenyewe. Kwenye mashindano Hivi Sasa Club za Zanzibar ni kama mboga ya bimia.
Rudini kwenye ligi ya Tanzania, tena ikibidi mjiunge na VPL kabisa maana siku hizi hata timu ndogo kama Ndanda, Prison, Mbeya city, Toto, n.k ni bora kuliko Small simba, KMKM, Kikwajuni, n.k ambazo awali zilikuwa zinashindana na timu za Simba na Yanga wakati ule wa Super League.
Think twice