Jamani mimi naona kama nimekuwa mgeni hapa Yerusalemu; kulikoni?
sijaelewa....!
halaf napita tu vrouuuuuuuuuuuuuuuuuuuum!:yawn:
mbona wewe unafahamiana na Rejao,shauri ya mpua?
umenifananisha na smile au?
Haka kamjadala kalinipita....vp, mmeshafikia conclusion?we Rejao namfahamu mie
sababu ya macho yake
we bishanga spare tyre.
ha haaaaaaaaaaaaaa, senki yuuuuuuuuuuuuuSisimizi ame-zoom-miwa thru microscope
Akawa mkubwa kama tembo
Sasa watu wanataka kumuua huyo tembo
Ila wakitoa microscope haonekani
Ndo ivo, na weye liunge
Haka kamjadala kalinipita....vp, mmeshafikia conclusion?
heee!!! mafuta yanakazi nyingi sana!! Angalia nisiwarudi nyie!!Tumefikia tamati hii
Wote wanne(Bishanga included) tunanunua mafuta
Tunakufuata kukuchangia
heee!!! mafuta yanakazi nyingi sana!! Angalia nisiwarudi nyie!!
mbona watu mnaogopa kujuana hivo duu
Hhmm binafsi sioni tatizo, labda kama hao watu wamezoea na wanapenda kuuungwa mkono na kusifiwa tu.
Mimi nnaowafahamu tunapingana kwa hoja jamvini na bado urafiki unaendelea. Hamna haja ya kumbadilikia mtu kisa mmetofautiana hoja.
Lizzy naomba nikufahamu mpenzi.....huenda ningeshakujua nisingekuuliza yale mambo ya gogo la mitishamba
Tangia asubuhi hadi saa hizi nimeganda kwenye keyboard nasubiria kufahamiana na Lizzy,jua linazama sioni dalili,yaani ukisikia mtu anasinzia amesimama ndo mimi leo!
Lizzy hujambo mama?
Tangia asubuhi hadi saa hizi nimeganda kwenye keyboard nasubiria kufahamiana na Lizzy,jua linazama sioni dalili,yaani ukisikia mtu anasinzia amesimama ndo mimi leo!
Lizzy hujambo mama?
Haka kamjadala kalinipita....vp, mmeshafikia conclusion?
Hii imenipita pitaje aise jamani tufahamiane basi wapendwa