heri yangu sifahamiani na yeyote inawezekana niko kwenye upande salama! Wote niliojaribu kuonana nao wameingia mitini... Na sitaki tena kumfahamu mtu mie
ili iweje?
Nipajue Mpwapwa
utatumalizia upepo.
Well:: Well:: Well::
Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana la wana-JF kufahamiana "kiuhalisia" kadri siku zinavyokwenda...
Kiuhalisia namaanisha - kwa majina halisi na kupeana namba za simu na hata kufika mahali pa makazi yao...
Ni jambo jema kama lina nia njema ... Sitaki kulinganisha JF na Facebook lakini zidhani kama inafaa ziwiane par se! ...
Sina tatizo la watu kuwa na mahusiano ya kijamii, lakini, ninaposoma "posts" za "new members" inanipa wasiwasi kuwa kuna uwezekanao wa kuwepo "negative consequences" pale "members" wanapofahamiana "kiuhalisia" halafu wakatofautiana in one way or another!
Heri ya Mwaka Mpya kwa wote wenye "mapenzi mema"
Kufahamiana hakuna faida ..kama ipo basi ni kidogo...watu hawajui urafiki wa kweli...ni ''friends with benefits''.Mie sikuona faida katika kufahamiana zaidi ya majungu.
Kwa niliyemkwaza ..samahani!
Bado mnaendelea tu?
I hope kijitu kimepata meseji. Meseji senti lol.
Kweli kufahamiana ni vyema.
Nakumbuka kuna kipindi kulikua na thread "JF Arusha Wing". Ambapo wanaArusha walipanga kuwa na safari ya kwenda mbugani. Sijui waliishia wapi. Ila naamini walikutana na kufahamiana;sijui kama walifahamiana kwa majina yao halisi au kwa majina ya JF.
Mwanachama yeyote wa JF Arusha Wing anaweza kuja kutoa uzoefu.
Kufahamiana hakuna faida ..kama ipo basi ni kidogo...watu hawajui urafiki wa kweli...ni ''friends with benefits''.Mie sikuona faida katika kufahamiana zaidi ya majungu.
Kwa niliyemkwaza ..samahani!
Kuna kitu ambacho almost all social networks zinakuwa zinafanana, hii inakuwa inasababishwa na sababu moja ama nyingine lakini kubwa zaidi ni kuwa watu wengi walioko kwenye network moja ndio hao hao wanaokuwa kwenye network nyingine hivyo kuna wakati wanakuwa wana act the same.Well:: Well:: Well::
Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana la wana-JF kufahamiana "kiuhalisia" kadri siku zinavyokwenda...
Kiuhalisia namaanisha - kwa majina halisi na kupeana namba za simu na hata kufika mahali pa makazi yao...
Ni jambo jema kama lina nia njema ... Sitaki kulinganisha JF na Facebook lakini zidhani kama inafaa ziwiane par se! ...
Sina tatizo la watu kuwa na mahusiano ya kijamii, lakini, ninaposoma "posts" za "new members" inanipa wasiwasi kuwa kuna uwezekanao wa kuwepo "negative consequences" pale "members" wanapofahamiana "kiuhalisia" halafu wakatofautiana in one way or another!
Heri ya Mwaka Mpya kwa wote wenye "mapenzi mema"
Hahaha. . .
Usingeniuliza kwasababu ungekua unajua au kwasababu ungenionea aibu? Au labda heshima kidogo?
So real avatar pictures will do more harm than good sio?
Not neccessarily. . . .
Labda wanajiunga na JF wakidhani labda is primarily a dating site?
Hii mambo bana,nashukuru Mungu ki nokia changu cha tochi hakiwezi hata ku..Sijui kuweka nini...Ah sijui mnaita Avatar.....Kuna wana JF kama nane hivi wa jinsia tofauti tofauti nimekutana nao,wachache sana ambao sio wajinga!Sidhan kama nina ham ya kukutana nao tena.Wengi humu ni tofauti na walivyo real!Hawana maana!
One thing I know, ukiweka picha yako hapa sehemu ambayo ina watu wenye hulka tofauti unaweza ukajikuta unajuta kwasababu wengine wanaweza kukutukana/kosesha raha kwa kutumia muonekano wako. Hata kama ni mzuri bado wapo ambao hawatachoka kusema chochote alimradi amekosoa. Ila uzuri kwa wale wanaotongozana hata kufikia kukutana, kunakua hamna surprises. Maana nasikiaga watu wakilalamika sana kwamba walipokutana mambo yalikua tofauti na matarajio.what will they do then? faida na hasara!
Acheni kuzuga watu.
Mnadhani hatujui kuwa huwa mnasafiria ili mkananihii. Na mlianzia kwenye PM tu.
Kuna mwenzenu mmoja hadi alijisahau, katikati ya thread yeye kakazania: Fulani mbona hupokei simu yangu, nipigie basi au pokea simu yangu, tena thread yenyewe ilikuwa ya kisiasa na haikuhusiana kabisa na hicho alichokiingiza. Na hili neno alilirudia zaidi ya mara 3 (he was not joking). Na aliwahi kuusafiria mzigo akaukosa. Tena ni mtu ambaye humu mnamuona kama mfalme.
Lizzy naomba nikufahamu mpenzi.....huenda ningeshakujua nisingekuuliza yale mambo ya gogo la mitishamba