kufahamiana hakuna tatizo ila lazima kuwe na mipaka.........
Utamwamini vipi? Kwa PM zake? Au Post zake?
Kuamini au kutokumuamini mtu it depends na wewe mwenyewe maana unaweza ukawa unafahamiana na mtu miaka 10 iliyopita lakini ukawa haumuamini....so kwa hapa JF it's the matter of how you interact with people in here especially kwenye kuchambua mada mbalimbali automatically mnanjikutaka you begin to be friends..Utamwamini vipi? Kwa PM zake? Au Post zake?
Then mnapangaje kukutana kama hakuna extra communication?
Kuamini au kutokumuamini mtu it depends na wewe mwenyewe maana unaweza ukawa unafahamiana na mtu miaka 10 iliyopita lakini ukawa haumuamini....so kwa hapa JF it's the matter of how you interact with people in here especially kwenye kuchambua mada mbalimbali automatically mnanjikutaka you begin to be friends..
tatizo la watu wehu sio tu kukutana nao na kufahamiana nao
humu kuna watu wameshaanzisha thread juu ya mtu ambae hawajawahi kukutana nae
na hawamjui.....
wengine obssession zao kwa mtu zinawatuma tu kuandika chochote wanachokihisi....
Hizo extra communication ndio zipi?
Word!!humu kuna watu wana akili zao
wapo wenye heshima zao
wapo wenye 'matatizo ya akili pia'....
Then mnapangaje kukutana kama hakuna extra communication?
aisee kazi kweli kweli.humu kuna watu wana akili zao
wapo wenye heshima zao
wapo wenye 'matatizo ya akili pia'....
Kwa wale ambao mmefahamiana na mkaendelea kudumisha urafiki - that is well and good ....
Tatizo ninaloliona hapa ni wale ambao wamekuwa na urafiki but all of sudden kukatokea mtafaruku, kuna nafasi kubwa ya vendetta!
Nikisoma baadhi ya "posts" za "new members" - ambao wanaongezeka exponentially [of which is good?] naona kama there is a growing tension of misunderstanding between some members and this is "killing the spirit of JF"!
Possibly it is a high time MODS waka-move in ku-clear the sky!
Kwa wale ambao mmefahamiana na mkaendelea kudumisha urafiki - that is well and good ....
Tatizo ninaloliona hapa ni wale ambao wamekuwa na urafiki but all of sudden kukatokea mtafaruku, kuna nafasi kubwa ya vendetta!
Nikisoma baadhi ya "posts" za "new members" - ambao wanaongezeka exponentially [of which is good?] naona kama there is a growing tension of misunderstanding between some members and this is "killing the spirit of JF"!
Possibly it is a high time MODS waka-move in ku-clear the sky!
Kwa wale ambao mmefahamiana na mkaendelea kudumisha urafiki - that is well and good ....
Tatizo ninaloliona hapa ni wale ambao wamekuwa na urafiki but all of sudden kukatokea mtafaruku, kuna nafasi kubwa ya vendetta!
Nikisoma baadhi ya "posts" za "new members" - ambao wanaongezeka exponentially [of which is good?] naona kama there is a growing tension of misunderstanding between some members and this is "killing the spirit of JF"!
Possibly it is a high time MODS waka-move in ku-clear the sky!
tatizo la watu wehu sio tu kukutana nao na kufahamiana nao
humu kuna watu wameshaanzisha thread juu ya mtu ambae hawajawahi kukutana nae
na hawamjui.....
wengine obssession zao kwa mtu zinawatuma tu kuandika chochote wanachokihisi....
Haijalishi njia zipi
Hivi tukipanga kukutana labda Move n Pick mimi na wewe
Tunapanga kwenye sredi?
Sababu hatufahamiani, utani-identify vipi?
Lazima kunakuwa na extra communication apart fron sredi
And by the way kwa nini ugomvi wa huko nje huko unauleta humu ndani
Mpaka na wasio husika wanajua kuwa mmegombana
Na at the end mtajikuta mnaongea na mambo ambayo hamkupaswa kuyaongea na yale ya PM yanaletwa hadharani sasa mnamfaidisha nani
Kwa nini watu wanashindwa kuvumiliana na kama ni kugombana wanakuwa mbali for good
na kama mtu mmegombana nae potezea post au thread zake may be kama huyo mtu atakuwa na moyo wa kuendelea kukujibu au kupost issue zinazokuhusu