Kama watu wanavyoingizwa mjini in real life, wapo ambao wako tayari kudanganya online. And my special advise for any female members, don't ever let yourself feel pressured into making online friendships. If something feels wrong, don't get drawn in. Otherwise, yatakuwa kama yale ya Mpoleee. LOL.
Una uhakika haujawahi kukutana na mtu humu ndani??mimi kiukweli sina mpango wa kukutana na yeyote humu
ila sioni kama ni shida watu kukutana
ni mtizamo wangu tu
sipendi kumdanganya mtu
sijawaiUna uhakika haujawahi kukutana na mtu humu ndani??
mimi kiukweli sina mpango wa kukutana na yeyote humu
ila sioni kama ni shida watu kukutana
ni mtizamo wangu tu
sipendi kumdanganya mtu
mimi natumia ndege mbona?Wewe wala hutaweza kunidanganya wakati tunaonana kwenye daladala kila asubuhi, isipokuwa weekends.
Una uhakika haujawahi kukutana na mtu humu ndani??
mimi natumia ndege mbona?
mimi kiukweli sina mpango wa kukutana na yeyote humu
ila sioni kama ni shida watu kukutana
ni mtizamo wangu tu
sipendi kumdanganya mtu
:juggle::juggle:sijawai
mi huwa nakutana na nyie humu tu
labda nikutane na wewe
sijawai
mi huwa nakutana na nyie humu tu
labda nikutane na wewe
kweli watanitamani buree? na mimi wa mtuUsijiapize
Kukutana kupo hata kwa bahati mbaya au kwa kupanga vile vile
Kukutana sio kubaya ila tatizo unakutana na nani na kwa nini
maana wengine kukutana nao ni kama umejianzishia matatizo atataka akujue zaidi ya unavyojijua na akishakujua ndo mambo ya kukuanzishia story za vijiweni
:juggle::juggle:
acha tu mwenzangu.kile choo na jiko lako umesafisha?Jana tu si ulikuwa unapiga mbizi wewe?
mimi natumia ndege mbona?
kweli watanitamani buree? na mimi wa mtu
Nikisoma baadhi ya "posts" za "new members" - ambao wanaongezeka exponentially [of which is good?] naona kama there is a growing tension of misunderstanding between some members and this is "killing the spirit of JF"!
Possibly it is a high time MODS waka-move in ku-clear the sky!
Mie sifahamiani na yeyote lakini natamani kweli kuwafahamu watu humu~~~~~~~~ hususan The Boss, japo kasema anahofu akifungua dirisha la kufahamiana nzi na wadudu wa kila aina wataingia lakini namtoa wasiwasi mie ni mdudu kipepeo, nikiingia nitaipendezesha nyumba~~~~~LOL,
Nipokuwa Dar mwishoni mwa mwaka jana kula X-Max, niliwajulisha wana JF, lakini wote walinichunia, jamani wana JF wa Dar ni wabaya kweli~~~~~~~~~~~LOL
Hhmm binafsi sioni tatizo, labda kama hao watu wamezoea na wanapenda kuuungwa mkono na kusifiwa tu.
Mimi nnaowafahamu tunapingana kwa hoja jamvini na bado urafiki unaendelea. Hamna haja ya kumbadilikia mtu kisa mmetofautiana hoja.
labda sema mimihuwa mnaniona sema mimi siwaoniInawezekana nimeshakusukuma basi.