Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

hii site ni invisible site hadi nikaja huku nni kwamba sitaki kujulikana
 
Kweli kwa ulivyo ni balaa
Ila ngoja tuu kuna siku nitakutana na wewe
Ila tukikutana ya huko nje ni ya huko huko humu yasifike kabisa
wewe siku ile si nilikuambia nikupe jina langu la facebook ukakimbia mkuu.?
 
Ha ha ha
Hivi unanifahamu?????
Maana ni leo tu
Nimenunua ile baking poda na majivu na Omo
Ndio nilichokuwa nafanya siku nzima

Afu sufuria nimenunua mpya kabisa
Na vikombe je havikutishi?
Ila sina glass za wine
Kama ni mpenda wine utanywea kwenye bilauri za bati
acha tu mwenzangu.kile choo na jiko lako umesafisha?
 
Kwahiyo inakua kama mashindano?
Huo sasa ni utoto.

Kwani we hujui kama kumjua Lizzy wa JF ni ujiko?

Lizzy yule...mi namjua yule. Namjua tokea praimare. Kuna mjomba'angu alikuwa anaishi karibu na nyumbani kwao pale karibu na kwa Mromboo. Yule Lizzy hawezi kunambia kitu mimi yule.
 
mwanamke reception ,mwanamke shep,mwanamke jiko na choo na vyombo mama sijui ni mama weye? husomeki
 
Kujuana kuna faida zaidi, utaweza kusaidiana kwa mambo mbalimbali na hata kupeana ideas ambazo huwezi kupata sehemu nyingine... ila kujuana na wapuuzi kuna hasara mara dufu... watahakikisha wanakuweka chini kabisa kwa namna yoyote ile
 
unataka kukutana na mimi mzee wa mabox?

Shika adabu yako. Mimi ndo Raisi wa Wabeba Maboksi. Wewe ndo unatakiwa kutaka kukutana na mimi na si kinyume chake. Kukutana na mimi ni bonge la ujiko. Mara tu ukutanapo na mimi moja kwa moja unapanda daraja.
 
Kujuana kuna faida zaidi, utaweza kusaidiana kwa mambo mbalimbali na hata kupeana ideas ambazo huwezi kupata sehemu nyingine... ila kujuana na wapuuzi kuna hasara mara dufu... watahakikisha wanakuweka chini kabisa kwa namna yoyote ile
mi sioni haja ya kujuana na mtu nadhani nitamuudhi bure
 
Shika adabu yako. Mimi ndo Raisi wa Wabeba Maboksi. Wewe ndo unatakiwa kutaka kukutana na mimi na si kinyume chake. Kukutana na mimi ni bonge la ujiko. Mara tu ukutanapo na mimi moja kwa moja unapanda daraja.
aisee napanda daraja nakuwa nani au jf founder?
 
Sharti jipya hilo
Mbona sina mpango huo maana kule kumekaa kwa kitoto sana aise
Mhh au unataka unifahamu uanze kutoa madongo JF
madongo gani tena mkuu?kwani una sura kama umelipuliwa na mabomu benghazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…