Barikiwa sanaHakuna tatizo kbsa sababu hata mkeo siku akiishiwa damu wewe pekee ndio utakua wa kwanza kum donate damu, maana mna similar blood group, shida ni kwamba kama ni emergency unahitajka haraka kumdonate damu mkeo na wewe upo mbali nae hapo ndio msara sasa! Kwa maana kwamba inabidi atafutwe mtu mwenye group hilo hilo O+ ndio apate msaada, sababu mwenye group O hawezi kudonatiwa blood na watu wenye groups tofauti kama "A, B na AB" unless group O pekee.
Lakini usijali hizo ni changamoto tu ambazo znaweza kujitokeza katika maisha yenu ya ndoa....
God will bless your expected marriage.
Aaaah nimesoma tech hivo nili opt geographytuambie kwanza kwanini hukuelewa topic ya genetics ukiwa shuleni?
Kaka hapana mambo hayako hivyo..kweye damu hatuna cha chanya na chanya hukwepana...hakuna tatizo lolote kumuoa mtu mnaefanana nae au kutofautiana nae kundi la damu...tatizo linaweza kutokea endapo mwanamume mwenye protein iitwayo Rhesus factor akimuoa mwanamke asiye nayo (kwa kuelewa zaidi hizo + na - zinaonyesha kuwepo ama kutokuwepo kwa protein hyo)...hata hvyo kitabibu ni swala linalorekebishika tu wala haimzuii mtu kutooaGroup o ana ana donete group zote tatizo group lake ni positive au negative.mfano mwanaume mwenye group o positive aki owa mwanamke mwenye group o positive kuna uwezekano mkubwa wa kukosa watoto.maana yake Hasi+chanya =circuit
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa concept ipi watakosa watoto?Group o ana ana donete group zote tatizo group lake ni positive au negative.mfano mwanaume mwenye group o positive aki owa mwanamke mwenye group o positive kuna uwezekano mkubwa wa kukosa watoto.maana yake Hasi+chanya =circuit
Sent using Jamii Forums mobile app
tuambie kwanza kwanini hukuelewa topic ya genetics ukiwa shuleni?
Joseverest umeadimika mkuu, au ulipumzika kusemwa baada ya kukalia front chair kwa muda mrefu?
Mambo vipi naomba na mm nitambue kama una elimu kidogo hapa kwa mfano mm noma AB+ na mchumba wangu ana O hapa vp kuna weka kukatwa na tatzo la kupata watoto??Kaka hapana mambo hayako hivyo..kweye damu hatuna cha chanya na chanya hukwepana...hakuna tatizo lolote kumuoa mtu mnaefanana nae au kutofautiana nae kundi la damu...tatizo linaweza kutokea endapo mwanamume mwenye protein iitwayo Rhesus factor akimuoa mwanamke asiye nayo (kwa kuelewa zaidi hizo + na - zinaonyesha kuwepo ama kutokuwepo kwa protein hyo)...hata hvyo kitabibu ni swala linalorekebishika tu wala haimzuii mtu kutooa