Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
hvi muccobs na saut navyo ni vyuo vya mtu kusoma nae akajiita ni msomi kweli??bora niishie form 4 niende depo ya police kuliko kupoteza muda wangu huko.overMwana nimetembelea taasisi kibao nikakuta wakuu wa vitengo kutoka IAA,MZUMBE,MUCCOBS,SAUT,..so usidhani UDSM ndo kila kitu,.heshima ya udsm itabaki pale pale kama chuo kikongwe na kilichotuanzishia gurudumu la elimu ya juu,."enzi hzo tulikua na chama kimoja,.saiv tuna vyama vingi na vinavyoleta changamoto"
hvi muccobs na saut navyo ni vyuo vya mtu kusoma nae akajiita ni msomi kweli??bora niishie form 4 niende depo ya police kuliko kupoteza muda wangu huko.over
kama umetoka muhas hujui kutibu malaria basi wewe ni mbumbu no moja sababu mwaka wa pili anayesoma parasitology anajua kutibu malari na alafu usivyojua hata unachoongea hivi wagonjwa walioko mwaisela,kibasila wanaumwa magonjwa ya caucasian? nahisi ulidisco mwaka wa kwanza na kuishia kusoma biochemistry ndo maana hujui hata unachokizungumzadogo kuwa na heshima na vyuo vya watu. Cku hizi udsm, muhas siasa ndo zinaongoza vyuo. Huwezi amini muhas wanaojiita cream of nation, mtu anatoka hata kutibu malaria hawezi. Watu wanachakachuliwa wanaishia kujua rare diseases ambazo hutokea kwa caucasians na management of an malaria hajui. Mtaishia kujisifu na siasa zenu za kijinga huku viwango vya ubora vikishuka. I hate theze old vasities waliojingiza kwenye siasa za ki..jing za jk. Nimesoma muhas,ucje nishambulia kwamba natetea hivyo vyuo unavyovidharau.
kama umetoka muhas hujui kutibu malaria basi wewe ni mbumbu no moja sababu mwaka wa pili anayesoma parasitology anajua kutibu malari na alafu usivyojua hata unachoongea hivi wagonjwa walioko mwaisela,kibasila wanaumwa magonjwa ya caucasian? nahisi ulidisco mwaka wa kwanza na kuishia kusoma biochemistry ndo maana hujui hata unachokizungumza
kwangu mimi ELIMU ni kukomboka kifikra ,msaada mkubwa elimu ni kusaidia kupambana na mazingira kuweza kuyamudu MAISHA kwa urahisi sasa kama umefunguka njia yeyote ni bora kielimu cha MSINGI UJITAMBUEJamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm ..........kwa maski za juu au basi tuuu
pamoja na kwamba disease never reads books lakini good clinical art inategemeana jinsi gani ulivyomaster basic science kwani ua eyes and hands can not interpret something which is not in ua mind.na hao intern wanaotukanwa na manesi umechunguza wanatoka vyuo gani? kwa taarifa yako intern ambao wanafanya vibaya sana ni wakutoka vyuo vingine tofaut na Muhas.mwanafunzi wa mwaka wa 4 au wa 5 akutoka muhas ana good clinical skills zaidi ya intern wanaotka vyuo vingine.hiki ni kipind cha evidence based ebu nieleze ni hospital gani iliyomkataa intern kutoka muhas kwani intern wote walioomba kutoka muhas mwaka jana wamepta nafasi na hakuna hata moja aliyekataliwa,wewe data zako unapata wapi.na kwa uhakika level ya confidence kati ya wanafunzi wa muhas ikoo juu zaidi ya wanafunzi wa vyuo vingine something which is very important katika clinical practicediseases never read books. Hiyo parasitology can not make you diagnose a disease. Ukiambiwa giv me the treatment unaweza mtajia. Lakini mtaani hakuna mtu wa kukutajia ugonjwa. Kukariri dalili na dawa haitoshi kutibu ugonjwa inahitaji good art ya kuongea na kumcheki mgonjwa. Na siku hizi diagnostic facilities hospitalini ni mbovu. Sawa mi mbumbumbu kama ulivyosema lakini kumbuka nimesoma shule za wakulima mpaka kupata chance ya kuingia muhas. Nenda huko mwaisela unakosema ukaone interns wanavyotukanwa na nurses kwa kutojua vitu. Believe me hospital za mikoani wanagoma kupokea intern kutoka muhas kwa sababu wengi wanatoka hawajaiva!
uzuri wa kutoka familia za viongozi na wasomi ni kwamba unapomaliza a-level wazee wanangali course inayokufaa na future yake, ukimaliza chuo unakuta ajira inakungoja.
Familia za undergrounds mtoto mwenyewe anachagua course kwa kuangalia jina la chuo na current market ya course inayobamba.. akimaliza chuo anakuta soko limeshajaa last 2 yrs.. Unakuta dogo akipata matokeo mazuri anakimbilia kusoma civil/mechanical eng au law udsm akimaliza chuo anenda kufundisha tuition mitaani
Mimi kuna jamaa zangu wanne wazazi wao ni majudge na f6 walipata div1 pts 7,8,8 na mwingine 9, wazazi wao waliwapeleka chuo cha mahakama Lushoto kusoma diploma. Jiulize ni kwanini hawakuwapeleka LLB UDSM??? Prof wa muhimbili anampeleka mwanawe aliyepata 10pts pcb kusoma MD KCMC, ni kwanini hakumpeleka MUHAS??
Hamjiulizi ni kwanini watoto wa NBAA directors wanasoma T.I.A na sio BCom udsm even though wana div 1 ECA?. POLENI SANA
Jamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm ..........kwa maski za juu au basi tuuu
diseases never read books. Hiyo parasitology can not make you diagnose a disease. Ukiambiwa giv me the treatment unaweza mtajia. Lakini mtaani hakuna mtu wa kukutajia ugonjwa. Kukariri dalili na dawa haitoshi kutibu ugonjwa inahitaji good art ya kuongea na kumcheki mgonjwa. Na siku hizi diagnostic facilities hospitalini ni mbovu. Sawa mi mbumbumbu kama ulivyosema lakini kumbuka nimesoma shule za wakulima mpaka kupata chance ya kuingia muhas. Nenda huko mwaisela unakosema ukaone interns wanavyotukanwa na nurses kwa kutojua vitu. Believe me hospital za mikoani wanagoma kupokea intern kutoka muhas kwa sababu wengi wanatoka hawajaiva!
Jamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm ..........kwa maski za juu au basi tuuu
pamoja na kwamba disease never reads books lakini good clinical art inategemeana jinsi gani ulivyomaster basic science kwani ua eyes and hands can not interpret something which is not in ua mind.na hao intern wanaotukanwa na manesi umechunguza wanatoka vyuo gani? kwa taarifa yako intern ambao wanafanya vibaya sana ni wakutoka vyuo vingine tofaut na Muhas.mwanafunzi wa mwaka wa 4 au wa 5 akutoka muhas ana good clinical skills zaidi ya intern wanaotka vyuo vingine.hiki ni kipind cha evidence based ebu nieleze ni hospital gani iliyomkataa intern kutoka muhas kwani intern wote walioomba kutoka muhas mwaka jana wamepta nafasi na hakuna hata moja aliyekataliwa,wewe data zako unapata wapi.na kwa uhakika level ya confidence kati ya wanafunzi wa muhas ikoo juu zaidi ya wanafunzi wa vyuo vingine something which is very important katika clinical practice
uzuri wa kutoka familia za viongozi na wasomi ni kwamba unapomaliza a-level wazee wanangali course inayokufaa na future yake, ukimaliza chuo unakuta ajira inakungoja.
Familia za undergrounds mtoto mwenyewe anachagua course kwa kuangalia jina la chuo na current market ya course inayobamba.. akimaliza chuo anakuta soko limeshajaa last 2 yrs.. Unakuta dogo akipata matokeo mazuri anakimbilia kusoma civil/mechanical eng au law udsm akimaliza chuo anenda kufundisha tuition mitaani
Mimi kuna jamaa zangu wanne wazazi wao ni majudge na f6 walipata div1 pts 7,8,8 na mwingine 9, wazazi wao waliwapeleka chuo cha mahakama Lushoto kusoma diploma. Jiulize ni kwanini hawakuwapeleka LLB UDSM??? Prof wa muhimbili anampeleka mwanawe aliyepata 10pts pcb kusoma MD KCMC, ni kwanini hakumpeleka MUHAS??
Hamjiulizi ni kwanini watoto wa NBAA directors wanasoma T.I.A na sio BCom udsm even though wana div 1 ECA?. POLENI SANA
kwa hiyo kupelekwa Lushoto na point 8 ndo unakuja kututangazia hapa unazani hao wameanza..wewe ndo bure kabisa nenda hapo lushoto uwaulize kama kuna mtu aliingia ata top 50 matokeo yao ya form 6..unataka ata T.O aje asome huo upuuzi? Sio wazazi wote wanuwezo mkubwa wa kufikiria.