Kufanikiwa kielimu na kimaisha hivi ni lazima mtu usome udsm na A-level

unaona ambavyo huelewi maana ya future? wewe unajua kusoma ni kupata cheti tu.! kazana umalize shule uje huku uraiani uprove maneno yangu

jibu maswali yangu..sio kunitisha na huko uraiani,najua nyie ndio mnaowashauri ndugu zenu wasome ualimu eti wapate ajira..we hamna kitu..eti wazazi wanakuchagulia fani,wewe umesoma kwa matakwa ya wazazi? Kama ndivyo hufai kuitwa msomi alafu subiri wazazi wako wakitanguli mbele ya haki(siwaombei) utakoma!
 

dah!kweli we jeuri...co kuwa jamaa anakutisha ila anakuambia jinsi gani uraiani kulivyo kugumu na ni tofauti kabisa na jinsi m2 anavyofikira anapokuwa yupo chuo kikuu...wengi nimewaona waliokuwa wazuri sana darasani(kuanzia o'level mpaka chuo) ila wanapata tabu huku mtaani kukabiliana na maisha...mi nakutakia mafanikio mema pindi utakapokuja uraiani ili uje ujionee maisha yalivyo
 

unajua kuna watu ni wabishi kama nn. Muhas ya siku hizi siyo sawa na ile ambayo walikuwa 50 darasani! Zinahitajika juhudi binafsi ili utoke umeiva. Kuna watu anamaliza rotation ameclak mara mbili,kwenye ca na ue,na log buk inajaa kama kawa. Sometime hata kama unajituma kuna vitu utaondoka hujawahi hata kuobserve aafu ndo common mtaani. Hospitali za mikoani hawahitaji theory,wako wachache wanataka mtu wa kufanya kazi!
 

Ni bora useme wewe mkuu. Ukisoma post zao utawahurumia kwakweli
 
Wote mnaopinga udsm ni ndezi tu.....tuliofaulu zaidi kuliko wengine tupo ud na tunaujua ubora wa elimu yetu.......endeleeni kukopa walimu wetu wawafundishe ila wanalalamika kuwa wanafundisha watu wenye uelewa mdogoooo to mean ukiwapa maswali yetu yenye page 5 wanaambulia kuishia njiani na kutopata majibu...pia wanaedit research zetu na nimelishuhudia tumaini, na saut....na wengineo. Mimi ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa nne...kama unaargument zitoe siyo kupiga mdomo kama msanii wa taarabu....
 
Ivi kweli kilaza wa mzumbe,muccobs,saut na tumain aje kujifananisha na products za udsm,udsm sie level yetu ni products za makerere,cape town,nairobi,cairo etc.hao mandezi waliosoma cjui mzumbe na huko kwingne ni makanjanja wa elimu tu..
 
kwani walioajiriwa serikalini,kwenye mabenki,wenye vyeo vikubwa sana,vijana wenye pesa na wamefanikiwa kiasi kikubwa na wana elimu ni kweli wote wamesoma udsm
 
kwani walioajiriwa serikalini,kwenye mabenki,wenye vyeo vikubwa sana,vijana wenye pesa na wamefanikiwa kiasi kikubwa na wana elimu ni kweli wote wamesoma udsm

Lawrence Mafuru CEO wa NBC ni matunda ya IFM na yuko juu ya ndezi wote wa unayoiita UDSM
 

Hata JK kasoma hapo hapo UDSM, angalia performance yake is just mediocre
 
Lawrence Mafuru CEO wa NBC ni matunda ya IFM na yuko juu ya ndezi wote wa unayoiita UDSM

Nehemia Mchechu...NHC product ya Udsm yupo juu ya Kunguru wote wa vyuo vya 2nd hand
 
Kuna jamaa yangu alipata law tumain na education udsm akachagua udsm,sasa hivi anakula dust la chaki huko singida wenzie sasa tupo dar lakin temperature ya mufindi,bata kwenda mbele!!
 

nakusalimia mkuu! umewafungua macho wengi humu
 
Kwa zamani ilikuwa huna jinsi. Ilikuwa ni kama ada! kwa sasa unaweza kufanikiwa sana bila kusom form six na UDSM. chagua unataka kufanya nini maishani kisha baada ya for four endelea nacyo unaweza kupata kazi na mshahara mkubwa kuliko wa mtu aliemaliza Udsm kwani ataambiwa hana uzoefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…