unclekamanda
New Member
- Jul 16, 2021
- 2
- 3
Kufanikiwa ni nini? Ni kutoka kwenye hatua moja ya chini ya kimaisha kwenda hatua inayofuata.Maranyingi watu wa mataifa yanayo endelea hasa yakipato cha chini au cha kati kiwango chao cha maendeleo ni chachini ukilinganisha na watu wa mataifa yalio endelea. Kuna sababu nyingi lakini kwenye andiko hili nimetenga hizo sababu kwenye makundi mawili ambayo ni Mtu binafsi pamoja na serikali.
Mtu binafsi.
Mara nyingi maendeleo huja baada yawewe kukubali kuendelea,usipokubali kuendelea huwezi ukaendelea hatakama unatoka kwenye familia iliyo endelea.hivyo basi nilazima ukubali kwanza alafu ujiamini kua unauwezo wakufanya mambo makubwa,kuza uwezo wako wakufikiri kupitia elimu unayoipata shuleni,kwakusoma vitabu mbalimbali au Uzoefu ulioupata mtaani au kwenye kazi yako,nilazima ufikiri tofauti ,kuna msemo wa Kiswahili unaosema “kifo chawengi ni harusi” mimi naukataa msemo huu kwasababu umekuja kwangu kwa namna hasi, laiti kama kwenye idadi ya marafikizako kungekua na watu kumi(10) waliofanikiwa kimaisha kati ya marafiki zako kuminambili(12) usingekubali level uliyonayo ya kimaisha na hii nikwasababu kungekua na msukumo wa ndani ( inner driving force) ambayo ingesababishwa na wivu ambayo ni asili ya mwanadamu ,kwahiyo nimuhimu kuangalia aina ya marafiki tunaokuanao kwenye maisha huwezi ukawa nauwezo mkubwa wakufikiri kama una marafiki wengi ambao niwakawaida kwasababu utaona umaskini au maisha ya chini ni kawaida na si ajabu.
Serikali,
Serikali inamchango mkubwa kwenye maendeleo ya watu binafsi na umma kwa ujumla,Mfumo wa elimu huundwa na serikali iliyoko madarakani.Elimu inamchango mkubwa kwenye maendeleo kwasababu ni mahali ambapo mtu binafsi hukuza uwezo wake wa kufikiri,nilazima serikali iachane na Imani kwamba karatasi moja ya mtihini hasa ya (ordinary level secondary) inaweza kuamua future ya mtu.vipaji vyingi hupotea kwasababu hio,serikali nilazima iangalie namna nyingine ya upimaji uwezo kwa watoto upimaji uwezo uanzie form one kwalengo la kuangalia namna bora ya kuwaendeleza bila kufanya hivyo unaweza kumpoteza professional singer ukimtafta rubani,au ukampoteza footballer ukimtafta mhandisi.Serikali iongeze uwekezaji kwenye technical schools kwasababu ndio roho ya uchumi wa taifa lolote.Asiwepo mwanafunzi aliyefika secondary alafu akarudi nyumbani labda arudi kwa ugonjwa lakin sio kwakuambiwa amefeli.mimi pia nilifail O level lakini wazazi hawakukubal kwamba sinauwezo ndipo wakaamua kunipeleka technical college pia nikapata diploma yangu ya engineering (First class 4.8GPA),Kama wazazi wasingekua na Ng’ombe wa kuuza nisome isingewezekana kwasababu serikali yangu ilishaniona kama loser nakunitenga.

Upvote
2