Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Yes!!! Nadhani namie nimeelezea hapo juu hapa tupo sawa kifikra zetu.Mkuu kufanikiwa ni ile hali ya Kila mtu anavyotafsiri Kwa namna yake....Kwa maana nyingine ni ngumu sana kuelezea kufanikiwa ni nini.
Kuna mwingine kupata chakula ni kufanikiwa, mwingine kumiliki gari ni kufanikiwa, Kuna wanaaona kuoa/kuolewa ni kufanikiwa, wapo wanaoamini kujenga ni kufanikiwa, kazi nzuri ni kufanikiwa au kuwa na watoto ni kufanikiwa.
Na Kuna sisi ambao tukiamka salama, afya njema kwetu na waliotuzunguka basi Alhamdulillah hayo ndio mafanikio yetu makubwa kwenye maisha ya duniani.
Hivyo basi....kufanikiwa kunategemea na mtu binafsi anavyoyatafsiri mafanikio.
I salute youDhana ya mafanikio ni pana sana, lakini nitajaribu kueleza kinagaubaga.
Mafanikio ni kukipata kilee kitu ambacho unakihitaji maishani mwako mfano kama ukikuwa unahitaji gari ukapamabna baada ya mda fulani ukafanikisha kununua gari basi utakuwa umefanikiwa
Mafanikio yamegawanyika katika nyanja mba
Financial freedom inaleta Ile kitu inaitwa wealth na ndio Mana waweza ukawa rich Ila usiwe wealth tofauti na Nini ya wealth ,rich and financial freedomWatakupa story zote.
Kufanikiwa ni only one way programme.
FINNANCIAL FREEDOM.
Popote ukanyage, ukae ndani umerelax, kuna muda hata kula si priority, you have it all.
Hapo itabidi tuanza kuzungumzia Qadar...., Utayari...Kujitoa....Malengo...Ufanisi....Namna ya kupokea changamoto za biashara za kuzitatua..n.kYes!!! Nadhani namie nimeelezea hapo juu hapa tupo sawa kifikra zetu.
Ila Sasa why mwingine anafanikisha Jambo fulani mwingine hafanikishi. Sijui hapa unanielewa. Mfano tunapewa wote let say coaster tano baada ya miaka kumi unakuta mwingine Anazo 20 mwingine hata Moja hana. Tujikite hapa
Sijajikita tu kwenye biashara Ila Ni mfano nimetolea inaweza ikawa michezo,shule ,kazi labda mtu ameanza na ualimu cheti akapanda akafika mpaka afisa elimu mkoa na mwingine akaanza na bachelor Ila akaishia kwa bachelor hapo hapo na ualimu kawaidaHapo itabidi tuanza kuzungumzia Qadar...., Utayari...Kujitoa....Malengo...Ufanisi....Namna ya kupokea changamoto za biashara za kuzitatua..n.k
Pia tutatakiwa kujikita kwenye ukweli kwamba si Kila mtu amezaliwa kuwa mfanyabiashara...
Kuna wale wanazaliwa biashara ipo kwenye damu huyu ni ngumu sana kukata tamaa na kutofanikiwa kwenye biashara.
Kuna wale wanatamani kufanya biashara na wanajaribu kufanya biashara ila hawawezi biashara Hawa ndio unakuta baada ya muda mfupi biashara Hana, au Leo anafanya hiki, kabla hakijasimama anaacha anahamia kule, kule nako hakujakaa vizuri anahamia biashara nyingine.
Biashara haihitaji pesa tu, inahitaji moyo wa dhati Kwa kuwa Kuna kukatishwa tamaa mno, Kuna changamoto nyingi sana Hadi kuanza kuona matunda ya biashara, ni biashara chache ambazo zitanyooka tu tangu mwanzo.
Nadhani nimejaribu kukujibu mkuu, kadri ya ufahamu wangu.
Sawa tujikite kwenye nyanja zote..Sijajikita tu kwenye biashara Ila Ni mfano nimetolea inaweza ikawa michezo,shule ,kazi labda mtu ameanza na ualimu cheti akapanda akafika mpaka afisa elimu mkoa na mwingine akaanza na bachelor Ila akaishia kwa bachelor hapo hapo na ualimu kawaida
Nashukuru mno kwa jibu lako. Ni zuri na Kama umetambua Ilo Ni Safi mnoSawa tujikite kwenye nyanja zote..
Tunarudi palepale ni wachache wanajitambua kipaji/taaluma yao ipo kwenye Nini. Wengi wetu tunasukumwa tu na mazingira au maisha inasababisha kufanya vitu ambavyo hatustahili kufanya.
Hapo ndio unakuta aliyetakiwa awe mwanajeshi/polisi kawa nesi au daktari ndio unaona matukio ya ajabu hayaishi, Kwa kuwa yupo kitengo sio chake.
Na mengineyo ni hivyo hivyo