K kombolane New Member Joined Dec 12, 2018 Posts 2 Reaction score 1 Dec 17, 2018 #1 Nduguzangu nilikua nauliza kuhusu kufanya biashara china,kuanzia naul ya kwenda na kiasi cha mtaji na maisha kule yakoje,na je ajira ndogondogo kule zipo,asanteni?
Nduguzangu nilikua nauliza kuhusu kufanya biashara china,kuanzia naul ya kwenda na kiasi cha mtaji na maisha kule yakoje,na je ajira ndogondogo kule zipo,asanteni?
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 Dec 17, 2018 #2 Unahitaji kufanya kwa njia ipi uchukue huku ukauze kule?,uchukue kule na uuze kulekule kwa faida kiasi?,au uchukue kule uje kuuza huku?
Unahitaji kufanya kwa njia ipi uchukue huku ukauze kule?,uchukue kule na uuze kulekule kwa faida kiasi?,au uchukue kule uje kuuza huku?
webroyalz Senior Member Joined Jun 6, 2015 Posts 199 Reaction score 337 Apr 8, 2019 #3 Kama una kampuni iliyosajiliwa jaribu kujiunga https://www.lenkeer.com ukutane na business decision makers kutoka China, USA na India
Kama una kampuni iliyosajiliwa jaribu kujiunga https://www.lenkeer.com ukutane na business decision makers kutoka China, USA na India