Kufanya Biashara katika zama za Artificial Intelligence Mwanzoni!

Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
408
Reaction score
437
Kwa anayependa kufanya biashara ya platform za AI hizi za Generative (kutengeneza Picha na maandishi)
Nina platform ambayo nilitengeneza na siku itoa public... ninauza Kwa interested buyer.

Sababu za kuuza: nimeamu ku target taasisi zinazotaka huduma hizo, so hizi za users sina kipaumbele Kwa sasa!

Inafanyaje kazi?
- kuna tools mbalimbali za kutengeneza kama hadithi, kuandika mikataba, barua, business ideas, kujibu maswali, kusolve maths, kuandika essays, mikataba... pia kutengeneza picha.

  • wateja wako wanaweza tumia bure au Kwa kulipia
  • anapewa/ananunua credits na zinaisha jinsi anavyotumia na kugenerate texts/picha
  • kila generation inakuwa recorded for future reuse to user

Unaweza make money Kwa watu kulipia kutumia tools hizo ambapo wao wananunua credits

Tools zilizopo:
- tool kama za barua, majina ya biashara, masomo... Nitakuachia...
Ila zilizo sensitive sitakupa
Ila
Wewe utaniambia nikutengenezee tools zipi kulingana na target market yako...

Nitatengeneza tools zako kama hazina ethical issues au hatari au hazinipi amani... Na sitakuuzia kama lengo lako la kuwa nauo halinipi Amani... Pia Kama technical scope ipo juu ya uwezo wangu sitaweza fanya.


Inbox me or
+255-657-685-268
For interested buyers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…