Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Mc cane

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
5,570
Reaction score
10,517
Habari wakuu,

Kuna mambo ambayo huwa ninashindwa kuelewa pale binadamu mwenzangu wa kiume anapofanya eti kwa ajili ya Mwanamke, tena wakati mwingine ni mpenzi tu.

Naandika haya nikijua sitafurahisha baadhi ya watu lakini ukweli ni kwamba kufanya yafuatayo kwa ajili ya mapenzi, kwa ajili ya mwanamke ni uzuzu

1. Kuchora tatoo yenye sura au jina la mpenzi ni uzuzu

2. Kumsomesha demu wako ni uzuzu

3. Kumjengea nyumba demu au familia yake ni uzuzu

4. Kuweka profile picture ya demu wako kwenye social media ni uzuzu

Taja uzuzu mwingine wanaofanya baadhi ya Wanaume katika mapenzi
 
Natamani na mm nipate zuzu moja ebu nitafutie huko mmeambia kusomesha demu ni moja ya uzuzu na kujichora tatoo
sasa wewe unataka zuzu wa nini? wa tatoo au kusomeshwa?
 
Tajeni uzuzu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…