Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Namba moja uko sahihi

mengine ni wivu tu ukiona tunafaidi unaweza ukaliwa tu na wewe
 
Kuhonga kwa mwanamke.
KUSIZIDI UWEZO WAKO.
Ni kama Betting.weka kiwango ambacho hata ukipoteza Hautaumia moyo.
Exactly. Tatizo unahonga kitu kama kumsomesha halafu, anakuacha kwakuwa amepata hako kaelimu. Kujua kwamba umemsomesha halafu ndio anakupiga chini inauma sana mkuu. Ndio maana huo nauita ni uzuzu.
 
Namba moja uko sahihi

mengine ni wivu tu ukiona tunafaidi unaweza ukaliwa tu na wewe
Najua kuna wengine ninawaharibia humu (ke), ila wengine ninaokoa maisha yako (me).
 
Itabidi kuwa na siku maalamu ya zuzu day ili kutengeneza awareness kwa mazuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…