Hata mimi nasubiri jibu hili mkuu.Naomba msaada juu ya jinsi sheria yetu ya Tanzania inavyowazungumzia wafanyakazi ambao wanafanya kazi bila kuwa na mkataba wa ajira.
Je wanapokuwa dismissed wanaweza kudai haki zao?
Msaada wa vifungu vya sheria pia kwa mtakaokuwa mnajibu.
Na pia kama kuna case ambayo imeshawahi tolewa maamuzi juu ya snerio kama hiyo, nayo naomba niijue
Asante.
Yani kwa usomaji huu utahitimu cheti. Maarifa na umahili vitakupita mbali. Soma vitabu hacha uvivu..nyinyi ndio mnaotia aibu mkipewa kazi.Achana na mambo ya kuibiwa, hii ni assignment yangu chuo mkuu
Ukweli uwa haupindi. Huo usomaji wa mwanafunzi wa sheria anayetafuta umahili katika fani. Go east go west sheria Kwa usomaji huo utahitimu cheti na sio maarifaKuwa mtu mzima
Ww.. who told you kwamba mimi ni mwanafunzi wa sheria???Ukweli uwa haupindi. Huo usomaji wa mwanafunzi wa sheria anayetafuta umahili katika fani. Go east go west sheria Kwa usomaji huo utahitimu cheti na sio maarifa