Kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa shughuli?


Hata mi under 18, c tunaeza fundishana eeh?
 
Sumu ya mwanamume ni wasi wasi (fear) kuliko kuchoshwa na kazi. Hivi kuna watu wanachoka kama vijana wa kumimina zege???

Nendeni mkaulize muziki wao!!
 
Mkuu cwezi kukubaliana na wewe kwani utakuwa umechoka nini kama ni akili basi ndo sehemu ya kujiliwaza, kiuno hapo ndo pakunyosha!
Sasa unachoka wapi kwa hizo kazi?
 
naishi peke yangu so kama unatafuta kumgonga gf/mke wangu, umenoa.....

hahahahahahahhaa........... Kama unaishi peke yako hufai kuwa jirani mwema!! Sasa mimi cfanyi kazi nitapiga stori na nani mchana wakati umeenda kazini.
 
Kufanya mapenzi,...akili na uchovo (nguvu) vina husika sana
katika suala zima la performance.
Kama una nguvu (hujachoka) ila akili yako haipo kwenye mapenzi huwezi kusimama.
Kama akili yako iko fresh lakini huna nguvu (umechoka sana),unaweza simama lakini
hautakua effective.

So vyote vinaendana na huwezi kuacha kimoja uka perform perfectly
 
Dear umerudia kisimama,simama mara kadhaa hii ni ile ya performance au mlingoti ?
 

Asante sana mtaalam
 
..u can prove tht theory.ukitoka hapo nenda kajaribu utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…