Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
JWTZ tuna jambo letu
.Hii wanayo fanya police ni kitu kinachoitwa, “the doctrine of pre emptive strike”... kuwashambulia au kuwakamata Waandamanaji kabla hawajafanya madhara...sujui hii nadharia yao imeekaje maana iko kinyume na rights Nyingine - free assembly and expression...
Huko polisi sijui kama wana watu wanaojua hizi mambo kwa ufasaha wake? Labda wapo usingizini
Toka hapo ulipo na uandamane ndipo utaona jambo letulifanyeni basi upesi- wananchi wanawasubilia kwa hamu sana- tokeni huko mliko...mkoloni anaimaliza nchi na nyie bado mnasema mna jambo... lini sasa mtalifanya au mpaka damu zimwagike?
Kwa hiyo jambo lenu ni kupiga na kuumiza watu au kutumia risasi za moto sio?Toka hapo ulipo na uandamane ndipo utaona jambo letu
Ukiandamana utapata jibu sahihiKwa hiyo jambo lenu ni kupiga na kuumiza watu au kutumia risasi za moto sio?
Ndio boss, na ungeandamana pia tungekufanyia usafi wa mwili mzimaLa kufanya usafi bila ukomo?View attachment 1618778
Na hicho kidole ndicho tungekitumia kukufanyia usafi hasa hasa topeni[emoji867][emoji867][emoji867]