Kufanya mapenzi bila kinga

marrykate

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
733
Reaction score
443
je kufanya mapenzi bila kinga ni ishara kwamba mnapendana kwa dhati, nina mpenzi wangu kila siku analalama kuwa simpendi kisa atataka peku peku na mimi sipo tayari,
 
Eti na mpenzi wangu.

Sa we mpaa mda huu una mpenzi, na hujui kama ana HIV au hana.

Sa condom ndo unadhani inaweza kukusaidia ikipasuka.
 
Eti na mpenzi wangu.

Sa we mpaa mda huu una mpenzi, na hujui kama ana HIV au hana.

Sa condom ndo unadhani inaweza kukusaidia ikipasuka.

Tumepima lakini sipendi peku peku, naona ladha ni ile ile hata ukitumia kinga
 
hahaha wee endelea hivyo hivyo...ataki mwambie asepe
 
je kufanya mapenzi bila kinga ni ishara kwamba mnapendana kwa dhati, nina mpenzi wangu kila siku analalama kuwa simpendi kisa atataka peku peku na mimi sipo tayari,

Wewe ndo tukulize umekaa nae mda gani na mnaaminniana kiasi gani kama umeokota usiku wa manane kasema hivyo utafaidisha TACAIDS
 
Wewe ndo tukulize umekaa nae mda gani na mnaaminniana kiasi gani kama umeokota usiku wa manane kasema hivyo utafaidisha TACAIDS

Miezi sita sasa katika mahusiano, ila namfahamu kwa zaidi ya mwaka
 
Tumepima lakini sipendi peku peku, naona ladha ni ile ile hata ukitumia kinga

Sasa kama meshapima unachohofu nini tena? au Hutaki kumbebea mimba?, Una lako jambo ww, pengine una mafiga matatu.
 
Usimpe huyo! mwambie mkapime kwanza utaona atakavyotokomea gizani
 
leo!..kazi ipo...na haya mambo ya pekupeku!
 
swala la kupima linaambatana na uaminifu hata mkienda kupima leo mkakuta negative kama c mwaminifu ni kazi bure kwani anaweza kwenda kwa wengine akaambukizwa na atkuambukiza kwani tayari utakua hauna wasiwasi naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…