Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE*_
na Warioba John.
Kulingana na watu kuwa wabunifu wa kutenda dhambi na kuongezeka kwa maarifa, tafiti zinaonesha ukatili wa jinsia unaongezeka na idadi ya talaka pia zinaongezeka kwa sababu ya watu kufanya kamchezo kanakojulikana kama kuruka ukuta na kusukuma tope yaani kufanya mapenzi kinyume cha maumbile.
[emoji1013]Kulingana na sheria yetu ya Kanuni Ya Adhabu (Penal Code) ya mwaka 2002 kifungu cha 154 kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
[emoji419] Mtu yeyote ambaye anamuingilia mtu yeyote kinyume cha maumbile au, anamuingilia mnyama kimwili au anamruhusu mwanaume kumuingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume cha maumbile, atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini .
Lakini Ikiwa kosa limetendwa dhidi ya mtoto wa chini ya miaka kumi, mkosaji atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha hii ni kulingana na kanuni ya Adhabu(Penal Code) Kifungu 154(2).
[emoji1013]Sheria imeenda mbali zaidi na kutoa adhabu kwa Kujaribu kujamiiana kinyume cha maumbile na ukipatwa na hatia ni adhabu ya kifungo cha miaka 20 jera hii ni kulingana na Kanuni Ya Adhabu kifungu 155.
[emoji1013]Kulingana na Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971(The Law Of Marriage Act) kifungu cha 107, kinaeleza kitendo cha kujamiana kinyume na maumbile (sexual pervasion) ni ushahidi tosha kuwa ndoa imefikia sehemu mbaya hivyo mwanandoa anaweza kudai talaka akieleza hicho kitendo kuwa ni ushahidi kuwa ndoa imefikia pabaya hivyo anaweza tumia hicho kigezo kudai talaka.
[emoji1013]Tunaposema ndoa kufika pabaya tunamaana ndoa kufika mahali ambapo wanandoa hawawezi kuendelea kuishi pamoja kama mume na mke; (the marriage is broken beyond repair) yaani muathirika hawezi tena kuendelea kuvumilia ile hali. Hata kama ndoa hiyo inasiku