swali zuri hili[emoji1] [emoji1] Atusaidie kujua inathibitikaje kuwa ni kweli huyu kafanya kosa hilo??
Jaribu siku moja kama hujapenda siku zote, kule hamna uchafu kabisa kupo fresh tu..tehe tehee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na inakuaje mtu unatifua chooo??? Ivi mnaujasiri gan aisee
Mix .ila sidhan kama unapata demu kwa michango yako hiyo[emoji23]Mkuu kwani humu mjengoni tupo wanaume tu au kuna mpk wanawake?
Hahahahaaaa hii ilikua ndo jibu sahihi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemkumbuka Rais mstaafu wa Zimbabwe Robert Mugabe,alipomwambia Rais mstaafu wa Marekani Michael Obama,pale alipotaka Afrika iwe na utaratibu wa ndoa za jinsia moja kuwa alimwambia tuanze mimi na wewe nikuoe halafu wengine wafuate[emoji16]
Nimemkumbuka Rais mstaafu wa Zimbabwe Robert Mugabe,alipomwambia Rais mstaafu wa Marekani Michael Obama,pale alipotaka Afrika iwe na utaratibu wa ndoa za jinsia moja kuwa alimwambia tuanze mimi na wewe nikuoe halafu wengine wafuate[emoji16]
Michael Obama???π³π΅Nimemkumbuka Rais mstaafu wa Zimbabwe Robert Mugabe,alipomwambia Rais mstaafu wa Marekani Michael Obama,pale alipotaka Afrika iwe na utaratibu wa ndoa za jinsia moja kuwa alimwambia tuanze mimi na wewe nikuoe halafu wengine wafuate[emoji16]
Ni kweli kabisa nyuma sio kuzuri japo wengine wanasema ndio kutamuu hatari ndio muache sasa mara nyingi kitu kitamu ni haramu kula
Wewe zimekupotosha?Tatizo picha za ngono ndiyo zinapotosha na kuhamasisha watu kujaribu
Tumetofautiana uwezo wa kushawishika na jamboWewe zimekupotosha?
Angalia content kama, nadhani spelling mistake is not fatal. Yani post yote cha maana ulichokiona ni hiyo spelling mistake? By the way mtoa mada alikuwa anaandika about legal position and not syntax. Please grow up.wakili msomi jela anaandika jera SMH
makosa kama hayo for someone msomi inaondoa credibilityAngalia content kama, nadhani spelling mistake is not fatal. Yani post yote cha maana ulichokiona ni hiyo spelling mistake? By the way mtoa mada alikuwa anaandika about legal position and not syntax. Please grow up.
Sent using Jamii Forums mobile app