Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

BenMo

Senior Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
160
Reaction score
63
Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu wazima na tuna akili timamu na tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni Uchaguzi wako Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo "MWIKO" ktk jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na ina madhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.

Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku lakini mambo hayo ni "taboo" ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi.

Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua "unajisikiaje" lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.

Inasemekana kuwa wanawake kuwa hawana hisia za utamu au raha ndani ya Tigo bali wanaume wanahisia Fulani na unono huko kunako "O" na baadhi husimamisha zaidi ikiwa watabonyezwa katikati ya mapumbu na sehemu ya kunyea au kuchuliwa/shikwa/kandwa/ lambwa kwa vile kuna vijimishipa ambavyo ni "most sensitive"na hupelekea wapate utamu ule wanaopata wanawake wanapotandikwa kwenye "kipele G".

Lakini kutokana na miiko wanaume wengi huwa hawaruhusu hii kwa vile wanahisi kuwa hakuna tofauti na kuwa shoga au wanadhani watazoea na kuwa "watoto wa watu" (Ushoga ni hali/hisia ya kuvutiwa/ kutamani mtu wa jinsia yako sio kushikwa au kufurahia sehemu ya mwili wako).

Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.

Ukweli kuhusu Tigo.

- Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa Tigo kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya wa vile "mchumba" kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio "natural" na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo. Tigo hauna ute asilia wa kuisaidia mboo kuingia bila "kwere" hivyo unahitaji vilainisho maalumu ili kurahisisha hilo.

- Hakikisha mnatumia Condom zenye "polyurethane" hizi inasemekana ni imara na zinahimili joto la huko kumavi kuliko zenye "spermicides" kwani husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo mengine yatokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya kunyea.

- Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo. -Hakikisha uume ukitoka Mkunduni haugusi au kuingizwa tena ukeni ili kuepuka maambukizo kwani sote tunatambua kuwa huko mahala kuna vijidudu asilia ambavyo ukivikanganya tu unaibuka na gonjwa la ajabu(unakumbuka hadithi ya AIDS?).

- Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).

- Kuingiziwa ndude huko kumugongo kunauma (kunakupa maumivu)…..fikilia unapokunya kimba gumu tena baada ya kumeza mbegu za matunda Fulani yanaitwa "mabungo"…tunda lenyewe ni mbegu na mbegu hizo zinatabia ya kutereza bila taarifa…..sasa rafiki yangu sikilizia wakati wa kutoa kimba…utalia basi nasikia Tigo pia inauma sana lakini wasogo wake wanatumia mafuta au Jelly kutimiza haja zao.

- Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko hutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.

Suala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.

*Mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

Ushauri wa bure-kwa wanawake Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe Tigo lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.

Tafadhali shirikiana nami kwa kushusha madhara ya Tigo.

Naomba kuwasiliasha.
 

Unayakoroga, shauri yako, ngoja waje wenyewe utawajibu!
 
Aisee,haya mnaofanya muache,mhhh lakini kwa vijana wa siku hizi sijui...
 
sasa kama zipo kila kona ni tatizo akitoa ushauri?sidhani kama amemlazimisha mtu kuacha ila nilichosoma ni ushauri tu ndio aliyotoa kwenye (paste)yake.endeleeni mkipenda na acheni mkipenda.napita tu@muwache 0713333333333
 
Mdomoni na viganjani ni sawa? Sahihi ni vile wawili wanavyokkubaliana, mimi na wewe tunatoa wapi ubavu wa kusema hawako sahihi/ Binadam anajifunza mambo mapya kila siku, zamani mwanamke hatii dushe mddomoni hata kwa panga, zamani zaidi ngono ilikuwa inafanywa chali tu, hebu sema position unazofanya na mkeo leo, mababu wangesema haram.
Makubaliano ya wawili chumbani kama hayakuletei kero ya namna yoyote ile hauna haki ya kuyafuatilia, huwezi kuwafundisha ngono binadamu, hata mbwa wako tu huwezi kumfundisha. Story za kulegea mishipa huwa siziamini kabsa, ingekuwa inalegezwa na mijivi.
 
ngono kinyume na maumbile ufanyika zaidi katika jamii ambayo wanawake wanapenda kutunza bikra kabla ya ndoa. na hilo nimelithibitisha kupitia jamaa yangu aliyetoka Zanzibari kufurahia sana maisha ya huku bara kupewa mbele bila bughuza yoyote ukilinganisha na kwao
 

Acha kudanganya jamii... Italy wanachunga bikra? Sweden, UK, US, Greece, Japan, Spain na hali kadhalika...

Huko kote wanapiga tigo wao kwa wao bila matatizo.

Tembea uyaone... usikae ukatema kasumba zako...
 
Dooh watu mkuu wanakula sana Nta dunia kijiji mpwa tena ndan ya ndoa wala mume hapewi wapo wanaokula kipira ni mlolongo mrefu sana omba Mungu. Kama huku kwetu ni kawaida sana na sio huku tu saizi kila mahal
 
Acha kudanganya jamii... Italy wanachunga bikra? Sweden, UK, US, Greece, Japan, Spain na hali kadhalika...

Huko kote wanapiga tigo wao kwa wao bila matatizo.

Tembea uyaone... usikae ukatema kasumba zako...

Niliposema bila matatizo i meant bila kujificha wala kutunza bikra...

Manzi anakuchania live live "you have to do my ass"...

Whats important ni kukubaliana, kuelewana na kuheshimiana.

Ukimwomba tigo akakupa... usimtangazie.... kama wewe usivyotaka akitangazie kuwa umemwomba na akakunyima....

Mutual respect and understanding ndio muhimu.... no kubakana wala kulazimishana.
 
Dooh watu mkuu wanakula sana Nta dunia kijiji mpwa tena ndan ya ndoa wala mume hapewi wapo wanaokula kipira ni mlolongo mrefu sana omba Mungu. Kama huku kwetu ni kawaida sana na sio huku tu saizi kila mahal
hatukatai ngono kinyume na maumbile ipo kila eneo lakini kuna sehemu ipo juu zaidi ukilinganisha na maeneo mengine, mfano kama nchi zilizotajwa na mjumbe. aise umesema huku kwetu ni kawaida, ni wapi huko kiongozi?
 
hatukatai ngono kinyume na maumbile ipo kila eneo lakini kuna sehemu ipo juu zaidi ukilinganisha na maeneo mengine, mfano kama nchi zilizotajwa na mjumbe. aise umesema huku kwetu ni kawaida, ni wapi huko kiongozi?

Mpwa hilo lilikua akilini mwangu kua ww lazima ujue huku kwetu ni wapi ha ha ha ha potezea mpwa ila jua kua ni sana tu na wengine unaweza kupiga bao 3 mbele usipo piga tigo unaenda kusemwa eti huna kitu ila ukila wala hutangazwi ni balaa kazi kweli kweli tupambane tu kama tutaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…