Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Ina madhara tena makubwa lakini ndo watu wanakopapenda, kumbukeni vinavyokatazwa vyavutia sana na hufanywa sana tu.
 
Naona ni tatizo la ki-ideology zaidi kuliko kiafya, kama ni magonjwa kote yapo.

Magonjwa ya kujitakia. Unaujua ugonjwa unaitwa golo. Huu ni linyama kama utumbo linatoka huko tigo linasababishwa na kufanywa huko. Likishakutoka hilo ni balaaa. Pamaoja na kuwa kuna manyama mengine yanaweza kutoka huko kwa magonjwa mengine... lakini hili hutoka kwa ajili hiyo. Kuna maji yenye kiharufu hutoka huko pia kwa kuwa kumelegea, maji haya huambatana na kinyesi chepesi kama uharo. Kutoa tigo ni LAANA.
 

Hako kautafiti kako umekafanyia wapi na kwa samplle gani? Unajua hapa watu hawawezi kusema, lakini sasa hivi wadada wanatoa sana tigo, imeshakuwa fashion, kuna wadada wengi mno nawafahamu na heshima zao (tena wawili ni madokta) wanafahamika sana kwa kutoa tigo, jana tu mama mmoja tumezoweana tunakunywa wote ameolewa na kijana mdogo, pombe na story zilipokolea akawa anatutonya "mi siwezii kumwacha fulani, anaf*ra vizuri mtoto yule", pale ilikuwa troops ya wamama kama wanne walianza kuporomosha somo la tigo pale nikajua wote wanagawa! Kati yao inawezekana wengine walikuwa wamevaa pampasi eeh? wengine labda tayari wana golo! Vitoto vidogo ndiyo usiseme, walioko kwenye ndoa wanaogopa waume zao watachukuliwa wanaamua kuwakoleza na tiGO!! Siyo wote mkuu, lakini huu ugonjwa umeathiri wengi na hauzuiliki kwa likolo!
 

Si sahihi sababu hata vitabu vya dini vinakataza.
Huo ndio ubavu wa kusema si sahihi.
 
Huu mchezo wa kula mbolea umeshamiri sana.
 

Well said ! Mambo mengi tunadanganyana tu na kutishiana . Kama dhambi uzinzi tu ni dhambi ni ninachojua hakuna dhambi kubwa na ndogo. Watu wanakula tigo miaka zaidi ya mitano sasa wanawake wanapata ujauzito wanazaa kawaida na bila tatizo lolote. Wanaume wanapiga peku hakuna infection yeyote. Kama wengine walivyosema mambo ya chumbani ni ya wawili na siri wanaijua wao. Jambo muhim ni kuhakikisha kuwa kila mmoja ana aman na hicho anachofanya. Tatizo la wazi ambalo linatokea ni kuwa kwa mwanamke anakuwa adicted kwa maana kwamba kila anavyomeet na mwanaume anataka huko akishazoea. Lakin pia hata ukigoogle utakuta wapo wataalamu wanaeleza namna bora ya kufanya iyo kitu safely.

MPARE WA MILIMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…