Kufanya mapenzi kwa simu

Price

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
1,502
Reaction score
920
Kuna raha gani ya kufanya mapenz kwa njia ya simu, iwe kwa kuongea au kwa kutumiana msgs.... coz sielewi... Jana nilipata mgeni, ni rafiki yangu wa Kike.. bahati mbaya alikataa kulala chumba cha wageni kwa kigezo kuwa anaogopa kulala peke yake.... Jamani usiku sijalala...! Mwenzangu anasex na boyfrnd wake kwa simu hadi nikawa simuelewi... na kabisa anaonesha vitendo... nikahama chumba kumpisha cz akiambiwa vua nytdress ye anavua kweli... Dah!
 

Elimu mpya hii!
 
.COM Generation kuna kila aina na vioja aisee! Sasa na kugegedwa anagegedwa na simu au?
sijui... ila anafanya mwenyewe kwa vitendo kabisa jus like yupo na huyo Hubby wake....
 
duh! We ungevumilia tu labda ungeona mengi zaidi, may be ingefikia pahala akaambiwa nifute sasa sijui ingekuwaje! Ila pole najua alikupeleka ulimwengu wakimahaba sana
 
sijui... ila anafanya mwenyewe kwa vitendo kabisa jus like yupo na huyo Hubby wake....



Duh! Hatareee, weka mbali na watoto hii. Kwa skype naweza nikawaelewa lakini kwa sms au kuongea kwenye simu hii kiboko aisee. Haya bana ndiyo utandawazi huo tutafanyeje sasa?
 
All is well.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…