Kufanya mapenzi kwa simu

Hayo watu wanayafanya na ni athari za mapokeo ya kasi ya sayansi na teknolojia na kuvunjika kwa mila na desturi zetu. Ulifanya la maana kuondoka coz u can lean by doing.
 
hahahahaha kwanza unapandisha mlima juu kabisa utakuta neno setting baada ya hapo kuna njia panda mbili moja kifupi chake pm ukibofya hapo mambo yote mswano kwa mujibu wa wapsite nakusubiri lol

Pm yangu umeipata?
 
Mi penda sana hii kitu yan nikichanganya na watsp daaaa


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Huu mtindo unatumiwa sana Ughaibuni huku kwetu tunao kozi meni wengi mpaka wazee hasa Mombasa na Tanga
 
Huyo mgeni hana haya hata ya kuombea maji,mi simpishi chumba atatoka yy,na wewe unampisha bila shaka unatesekea nini?umeniudhi ujue.
 
Aksante kwa kutufumbua macho kuwa sasa si lazima tuwafumanie wake zetu. Dah! Lakini huyo rafikiyo kweli kahaba wa kutupwa. Safari yoote mpaka kwako kisa kuja kukufunza Telesex!! Lakini hakubahatisha kwani alikuja kuta weye kumbe hujui hii kitu. Au wajua unatugilibu tu akili?? Maana tangu Makondakta aupewe u RC naona michepuko ya kwenda pale Kino makaburini ni shida kidogo, watu hawajiamini. Hata yule mchimba makaburi anajua kibarua chake kinaweza ota nyasi very fast. Makondakta si mchezo.
 
Ni matatizo ya kisaikolojia, ni aina mojawapo ya wendawazimu ambao karibu kila binadamu anao wa aina yake. Wengine husikia raha akinajisi au kunajisiwa na mnyama, wengine ni wasenge/wasagaji, wengine wapiga puunyetoo, wengine wapiga chabo, wengine 'wanyonyaji/wanyonywaji', wengine wanakunywa mkojo, na wendawazimu kadha wa kadha.
 
we jamaaa hujui unachosema,hii ni njia ya kufanya aliye mbali ujihisi yupo karibu
 
Mhhh una moyo ningemtimua hayo mapenzi wasingefanya na kwangu asingerudi ujinga gani huo
 
At a mi natiaga sana kwenye simu ila lazima uwe na hisia Kali na nyege nyingi kuna dem alisema uwiiii nimekojoa kweli
 
ungempeleka kwa baba mchungaji aombewe au ungemtafuta shekhe mkuu hayo ni mapepo au maruhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…