Mimi mara 5 kwa wiki,sijui nakosea?
Wasiofanya tendo la ndoa wapo hatariniNa wasiofanya inakuwaje MziziMkavu?
Na wasiofanya inakuwaje MziziMkavu?
Mimi mara 5 kwa wiki,sijui nakosea?
Wasiofanya tendo la ndoa wapo hatarini
kupatwa na huo ugonjwa wa Heart Attack. Ili kujiepusha Heart Attack tumia njia ingine hii hapa. Unapo amka Asubuhi
kunywa Maji ya Uvuguvugu glasi 3 kabla ya kula kitu asubuhi na ukae kwa muda saa 1 baada ya hapo waweza kula
chakula. Na Wakati wa mchana kunywa glasi ya Maji ya Uvuguvugu Glasi 2 kabla
ya kula kitu na baada ya saa 1 kupita waweza kula chakula na usiku kunywa pia maji ya Uvuguvugu glasi 2 kabla kula
chakula cha usiku na wakati wa kulala kunywa glasi 1 maji ya uvuguvugu kisha waweza kulala huta patwa na huo
ugonjwa wa Shambulio la Moyo Heart Attack. Chanzo ni MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
Nadhani matokeo yao ni mawili tu!
Mashaka ya Mfazaiko!
Au moyo kusimama kabla ya siku!
Teh teh teh teh!
Kwa wiki unafanya mara 3 siku tofauti sio magoli 3 kwa wiki ukiweza hata kwa wiki kupiga magoli 6 piga ili mradi ufanye kwa wiki siku 3 tofauti.Imenichanganya kidogo ni siku tatu kwa wiki au magoli matatu kwa wiki? mimi na mpenzi tuna-do wikiendi tu ila ana uwezo wa kutoa zaidi ya magoli matatu. Mzizimkavu nitoholee hapo inakuwaje ili tuwe salama na mpenzi wangu
cc.@farkhina, cc.@gfsonwin,
cc.@mkereketwa_huyu, cc.@power to the
people, cc.@tukutuku cc.@Samaritan
Kwa wiki unafanya mara 3 siku tofauti sio magoli 3 kwa wiki ukiweza hata kwa wiki kupiga magoli 6 piga ili mradi ufanye kwa wiki siku 3 tofauti.
Na wasiofanya inakuwaje MziziMkavu?
Wanapata mfadhaiko wa akili ambao huweza kusababisha hata kushindwa kufanya shughuli zao muhimu za kila siku. Mzima weye!? Nakutakia siku na kazi njema.
Wanapata mfadhaiko wa akili ambao huweza kusababisha hata kushindwa kufanya shughuli zao muhimu za kila siku. Mzima weye!? Nakutakia siku njema