Kufanya mapenzi kwa wiki mara 3 kunapunguza kupata shambulio la moyo (heart Attack) kwa asilimia 50%

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima bila kupiga mambo yetu. Pia utafiti huo unasisitiza ya kwamba mwenye Kufanya Mapenzi killa siku anaondoa uwezekano wa kupata Heart Attack kwa Asilimia 100%

ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI

Kiafya
Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu
atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75.

Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani.

Kuongeza mwendo wa damu
Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji. Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili.

Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol)
Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini.

Kupunguza maumivu
Wakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa.

Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini. Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara.

Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate.

Kupunguza mfadhaiko wa moyo
Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini. Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi.

Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone) na za kike (Oestogen)
Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi. Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo.

Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijana
Wakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka.

Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular).

Hupunguza baridi na mafua
Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa.

Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa.
NB: Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa

HAYA KWA WANA NDOA FANYENI MAPENZI JAPO KWA WIK MARA 3 MUPATE FAIDA ZA TENDO LA MAPENZI NDANI YA NDOA. KWA WALE WASIOWA HAWAPATI HIZI FAIDA SHAURI YENU MSIE OWA OWENI MUPATE FAIDA ZA TENDO LA NDOA
 
Daah heri walio na ndoa.Maana hao wataepuka mashambulizi ya moyo
 
Haya sasa, twendeni kukapeane afya kina dada!!
 
Kwa sisi wanaume ngono ni afya, ngono ni maisha, ngono ni tiba.

Goli mbili kwa siku ni tiba tosha, inaondoa msongo wa mawazo.
 
Kununua mmoja 10000_15000 kwa bei ya hapa dom mtaa wa uhindin; mara tatu kwa wiki itagharim 30000-45000... kuliko kupata maugonjwa ya moyo, sijui presha...ntaanza kutembelea chimbo za totoz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema walioko kwny ndoa wanafaid utakuwa unakosea, hakuna watu wanaobaniana kama waliondan ya ndoa....asiye na ndoa anaweza kubutua hata zaid ya mara nne kwa wik ila aliye ndan mara mbil kufikisha ni mpaka wakabane.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I do practice the same ,,,its healthy !!!
 
How about Paul and Jesus?Did they suffer from the heart diseases?
 
we unafanya kwa wiki mara tatu, sisi wenzio tunafanya kwa wiki mara nane. pole. jumatatu asubuhi (amka na bbc) na usiku ukirudi. pumzika jumanne....(2) juma tano amka na bbc pamoja na usiku wa kulala, alhamis pumzika. ijumaa amka na bbc na usiku.....jumamosi kwasababu unajua kesho yake hauendi kazini, unatandika asubuhi vya kutosha, na jioni/usiku vya kutosha. jumapili mfululuzi kabla haujaamka kwenda church, na usiku vya kueleweka ili kusafisha njia jumatatu uanze kazi bila stress. hesabu yake inaenda mara ngapi hiyo? siku pekee tunajizuia ni zile za period ndo namwacha. ratiba hiyo yeye mwenyewe anaifahamu na akijaribu kuivuruga anajua nitachukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…