Kufanya mapenzi siku3 au 4 kabla ya kupata hedh!

elimu ya uzazi bado kabisa kwa dada zetu!! nilisoma std 6 na form three reproduction yaani siku za mimba za mwanamke nazijua vizuri sana
hapo hamna mimba
 

Jifunze elimu ya uzazi kabla ya kufanya lolite lile linalopelekea wewe kuingia kwenye uumbaji wa kiumbe katika mwili wako

Njia ya asili ya kuzuia mimba hutumiwa na wanawake ambao kwa namna moja au nyingine hawataki kutumia madawa ya kisasa ili kuepuka mabadiliko ya miili yao kama vile kunenepa, kutokwa na majimaji ukeni na pia kuna tetesi kuwa yanaongeza uwezekano kwa mwanamke kupata Saratani ya Kizazi na Matiti.

Kuzuia mimba kwa kutumia tarehe inauhakika ikiwa mzunguuko wako ni uleule na sio mrefu (siku 32-35) wala mfupi (siku 18-24) bali ni ule wa kawaida ambao ni siku 28.

Ili kutumia mtindo/mbinu hii ya kuzuia mimba unapaswa kuanza kuhesabu siku zako sasa na fuatilia kwa karibu mzunguuko wako na kuhakikisha kuwa una siku 28 sio chini wala juu ya hapo. Kwa kawaida unaaza akufuatilia kwa miezi mitatu hadi sita (kama umewahi kutumia madawa ya kuzuia mimba) kabla hujaanza kuitumia njia hii

Namna ya kuhesabu

Ili kuwa na uhakika na urefu au ufupi wa mzunguuko wako unapaswa kuhesabu siku ya kwanza utakayo ona damu mpaka utakapo ona damu ya mwezi utakao fuata. Mfn; leo tarehe 9 mwezi wa nane ndio umeanza hedhi basi hedhi ya mwezi ujao itakuwa tarehe 7 mwezi wa tisa.....hii ni kama mzunguuko wako usiobadilika (sio mrefu au mfupi) ambao ni siku ishirini na nane tu.

Siku ya kwanza ya hedhi mpaka siku ya tisa ni salama na huwezi kushika mimba.

Baada ya hapo mpaka siku ya kumi na nne (yai linapevuka) unakuwa hatarini.

Siku ya kumi na saba mpaka siku ya ishirini na mbili unakuwa salama tena mpaka siku ya ishirini na tatu mpaka ishirini na saba (yai pevu linashuka) hatarini

Lakini ile ya ishirini na nane siku ya hedhi nyingine unakuwa salama tena....

Ili kuwa na uhakika kuwa uko kwenye mstari kuliko kuegemea kwenye tarehe tu unatakiwa kujua mabadiliko ya mwili wako.

Unapokuwa hatarini kushika mimba mara nyingi utahisi nyege zaidi n avilevile utoko wako utabadilika na kuwa mlaini zaidi (kama lotion) na wakati mwingine utahisi ute unatoka (ule kama udenda/mlenda)....ukiona hivyo hakikisha unatumia Condom vinginevyo utashika mimba.

Unapokuwa salama mara nyingi hamu ya kufanya mapenzi inakuwa haipo sana labda "uchokozwe", vilevile utoko wako unakuwa mzito (kama cream/mafuta mazito)na mweupe sana yaani hata wakati wa kujisafisha inakuwa tabu na inaweza kukuchukua muda mrefu zaidi.
 
Siku 4 before MP na 4 baada siku zote they say ''Pregnancy chance is low'' so kwa mzunguko wowote ni salama, mpe mumeo mambo!

Ref: Android app - My calendar (More than 100 Million User)
 
Je kama amemaliza bleeding leo alafu kesho/kesho kutwa akafanya itatunga mimba au? Answer please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…