Kufanya mapenzi/tendo la ndoa na mzazi wa mwezi mmoja

Salam zenu wadau Naomba mnisaidie yafuatayo : _nawezaje fanya mapenzi na mke wangu (kajifungua an

  • 12

    Votes: 0 0.0%
  • 12

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
Fanya nae tu haina shida.. usimpo mbemenda mtoto huyo ni wako kweli... ukimbemenda mtoto ujue siyo wako huyo...
 
Teh jamani kwani lactic ukiivuta inabaki ndefu hivo hivo siku inarudi katika hali yake?
Hii kitu ni supa elastic inarudi kama ilivokuwa, usisike chai za watu wanaokimbilia scissor et kuogopa kitu itakua kubwa
Ah ofcourse Mungu ajalie sina sababu ya operation, natural way is the best,
 
Nakubaliana na wew kwa asilimua mia mbili,,,waafrika tunachelewa kuendelea kwa imani za kipuuzi kama hizi..!!
 
Fanya nae tu haina shida.. usimpo mbemenda mtoto huyo ni wako kweli... ukimbemenda mtoto ujue siyo wako huyo...
Hakuna kitu kinachoweza kuathiri afya ya mtoto kinachoitwa Kubemenda kijana jiongeze acha kufikiri kama walivyofikiri babu zako..!
 
Kubemenda kupo kuna mtoto nilshumhudia aliyebemendwa utalia ukimuona pia inakuwa shida kumlea maana huwa hakui
 
Umeanza vizur ila hizo mwishon ni myth
 
Kuliko uende nje ukaje na ngoma kamua mwanangu, ado, ado, by the way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…