Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ina kadiriwaje mkuu? Ukiwa na kampuni Si lazima uonyeshe mapato na matumizi yako ili kiwango cha kutozwa kodi kijulikane?Acha kucomplicate maisha,
Kodi hazikadiriwagii hivyo
Lakini si ina tin number ya duka mkuu?Tafuta risiti ya EFD...hiyo ya mkono hautaweza ku justify endapo itahitajika kuonyesha manunuzi yako. Wakati wa ukaguzi wa hesabu yako.
OkayTafuta efd risiti
Acha ukali ushaambiwa tafuta EFD eboooo..!Lakini si ina tin number ya duka mkuu?
Ni wazi hicho kitu hakina thamani kubwa, vinginevyo usingekubali risiti isiotambulika. Potezea tu.Wakuu habari?
Kuna kitu nimenunua kariakoo ila sikupewa risiti ya mashine nimepewa ya mkono.
Je, wakati wa kulipa kodi mwisho wa mwaka naweza kuitumia hii risiti kama njia ya kuonesha gharama nilizo tumia kununua hicho kifaa ili kodi ipungue?
Attach hiyo risiti haO wahuni washughulikiweWakuu habari?
Kuna kitu nimenunua kariakoo ila sikupewa risiti ya mashine nimepewa ya mkono.
Je, wakati wa kulipa kodi mwisho wa mwaka naweza kuitumia hii risiti kama njia ya kuonesha gharama nilizo tumia kununua hicho kifaa ili kodi ipungue?
Mkuu punguza hasira.Acha ukali ushaambiwa tafuta EFD eboooo..!