Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,049
- 674
jana mtoto wa kike wa Dada yangu ana miaka 14 na bado anasoma alikutwa gheto akifanya mapenzi na Kijana mwenye umri wa miaka 17. kesi IPO police. je sheria inasemaje kwa vijana km Hawa walio na umri chini ya miaka 18. hukumu yake huwa inakuwaje. they are young and naughty. Kijana tunamuonea huruma lakini alichokifanya pia kinaumiza mno (if you know what I mean)