Horse pipe ya juu?Yalivuja katika Ozi mkuu!
Nashukuru nduguPole sana...
Kama gari ilichemka... hapo vya kucheki ni:
- Cylinder head kama ilipata cracks...
- Unaifanyia overhaul gasket... ambayo inakaa between the engine block na cylinder head...
Kama engine ili knock out... ndiyo mambo ya piston, sleeves, rings na cylinder vinahusika...
Cc: mahondaw
Sahihi kabisaaaaa... Yangu ilianza kusmoke, fundi akaniambia nifanye overhaul tuweke rings nyingine..Paki gari tafuta pesa nunu engine mpya, replace urudi barabarani. Ukianza sijui overhaul utakuwa kila uchao unakuja hapo gereji.
inategemea na uwezo wa fundi kama fundi anafaham anachokifanya engine inafanyiwa overhaul na inarudi sawa bila shida sema unakuta gareji bubu mtu hana hata engine pressure test alafua anakuambia anafanya overhaul, nimesha badili block nyingi za 2az na gari zipo barabarani hadi Leo maana hizi engine model za mwanzo bolt zilikuwa zinafunga thread chache hivyo kupelekea cylinder head kuvuta bolt za upande mmoja na gari huanza kuvuja maji au oil, wengi wamekuwa wakipeleka kuweka bush ila mm nimekuwa nikiwashauri bora ununue block then hamishia vitu kwenye new block, sasa unakuta MTU kagari kana engine yenye 990cc alafu imetembea 200,00+ alafu unajiganga hii engine haijawahi funguliwa hivi mnazani kitu kama piston ring hazichoki? Au anakuja kuanzisha mada " ka passo kanakura mafuta balls"Sahihi kabisaaaaa... Yangu ilianza kusmoke, fundi akaniambia nifanye overhaul tuweke rings nyingine..
Injini ipo stoo nimeweka used from japan na maisha ni kama nimetoka bandari tena.
Yes. Ila kwa vile gari ni ya zamani, wakifungua kubadilisha gasket lazima wakute shida nyingine, so overhaul itakuwa pale pale. Na mie naungana na walioshauri utafute engine nyingine.Nashukuruni kwa ushauri wakuu.
Nitafanyia kazi,
Ila wengi walishauri kwa kuchemka ni gasketi inahitaji rekebishwa